Utumishi hawawezi kufanya mchezo wa kitoto kama unavyofikiri hawa kuwa wanataka kuwapachika kama unavyodai wangesema tu walikuwepo kwenye database then wakapewa barua za kuripoti kituo cha Kazi chamsingi ulipaswa kujiandaa vyema tu acha kulalamika vitu ambavyo havina mashikoHABARI WANABODI
Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili.
Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye interview yao ambayo imefanyika tarehe 03/01/2018 siku ya jumannne kwa nafasi ya COORDINATOR II mwajiri akiwa ni NACTE lkn UTUMISHI wao wanaajiri kwa niaba. Ambao tulioitwa kuhudhuria written interview hii jumla ni 282. Tulioweza hudhuria tulifika kwa mfano mie nimetoka mkoani lkn wapo ambao hawakuweza hudhuria ni kawaida hutokea.
MALALAMIKO NA KILIO CHANGU CHANGU
Sasa ndugu zangu watanzania hapo utagundua kwamba kuna mchezo wafanyika na hawa jamaa ambao tuliwaamini kwamba hata sie watoto wa wakulima twaweza pata ajira za serikali.
- Tuliitwa 282 kwa nafasi ya COORDINATOR II lakini tuliofika pale ni kama 170 kwa kukadiria.
- Matokeo yametoka leo yanaonyesha kwamba tuliohudhuria na kufanya mtihani ni 186. Sasa tuseme tulihudhuria wote kufanya ile interview, swali je hawa WANNE(4) waliozidi wametokea wapi yaani 186 kutoa 182 wapata nne.
Kwakuhitimisha ili tusichoshane kwa maelezo marefu
Kama kuna watu mmewaanda kwa ajili ya hizi kazi basi muwape tu kuliko kutusumbua kutoka mikoani, MNAKERA KWAKWELI.
- Kuna watu wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya hizi kazi, hawa wanne(4) walizozidi utumiishi watueleze wametokea wapi.
- Nadhani pia hawasahishi mitihani vizuri, hisia zangu kinachofanyika ni ukadiriaji tu wa maksi.
- Watahiniwa hawakuhudhuria wote kwanini sasa matokeo yatoke kuzidi hata idadi halisi ya walioitwa kuhudhuria interview yenyewe.
NIMEAMBATANISHA MAJINA YA SHORTLISTED NA MATOKEO KWA NAFASI YA COORDINATOR II KAMA USHAHIDI WA TUHUMA NILIZOZILETA, KUMBUKA NIMETAJA NAFASI YA COORDINATOR II PEKEE
Jiongeze kidogo kwa kupakua hizo documents mbili, kisha cheki shortlisted, na matokeo yao utapata jibu kijana, sianzishi thread kilofa evidence hiyo hapoUtumishi hawawezi kufanya mchezo wa kitoto kama unavyofikiri hawa kuwa wanataka kuwapachika kama unavyodai wangesema tu walikuwepo kwenye database then wakapewa barua za kuripoti kituo cha Kazi chamsingi ulipaswa kujiandaa vyema tu acha kulalamika vitu ambavyo havina mashiko
soma Maelezo uelewe acha kukurupuka kukomentUtumishi hawawezi kufanya mchezo wa kitoto kama unavyofikiri hawa kuwa wanataka kuwapachika kama unavyodai wangesema tu walikuwepo kwenye database then wakapewa barua za kuripoti kituo cha Kazi chamsingi ulipaswa kujiandaa vyema tu acha kulalamika vitu ambavyo havina mashiko
Ao watu sina hamu nao baada ya kusahisha mitihani ya watu elfu 3500 ndani ya SAA 24 na kutoa majibuHABARI WANABODI
Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili.
Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye interview yao ambayo imefanyika tarehe 03/01/2018 siku ya jumannne kwa nafasi ya COORDINATOR II mwajiri akiwa ni NACTE lkn UTUMISHI wao wanaajiri kwa niaba. Ambao tulioitwa kuhudhuria written interview hii jumla ni 282. Tulioweza hudhuria tulifika kwa mfano mie nimetoka mkoani lkn wapo ambao hawakuweza hudhuria ni kawaida hutokea.
MALALAMIKO NA KILIO CHANGU CHANGU
Sasa ndugu zangu watanzania hapo utagundua kwamba kuna mchezo wafanyika na hawa jamaa ambao tuliwaamini kwamba hata sie watoto wa wakulima twaweza pata ajira za serikali.
- Tuliitwa 282 kwa nafasi ya COORDINATOR II lakini tuliofika pale ni kama 170 kwa kukadiria.
- Matokeo yametoka leo yanaonyesha kwamba tuliohudhuria na kufanya mtihani ni 286. Sasa tuseme tulihudhuria wote kufanya ile interview, swali je hawa WANNE(4) waliozidi wametokea wapi yaani 286 kutoa 282 wapata nne.
Kwakuhitimisha ili tusichoshane kwa maelezo marefu
Kama kuna watu mmewaanda kwa ajili ya hizi kazi basi muwape tu kuliko kutusumbua kutoka mikoani, MNAKERA KWAKWELI.
- Kuna watu wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya hizi kazi, hawa wanne(4) walizozidi utumiishi watueleze wametokea wapi.
- Nadhani pia hawasahishi mitihani vizuri, hisia zangu kinachofanyika ni ukadiriaji tu wa maksi.
- Watahiniwa hawakuhudhuria wote kwanini sasa matokeo yatoke kuzidi hata idadi halisi ya walioitwa kuhudhuria interview yenyewe.
NIMEAMBATANISHA MAJINA YA SHORTLISTED NA MATOKEO KWA NAFASI YA COORDINATOR II KAMA USHAHIDI WA TUHUMA NILIZOZILETA, KUMBUKA NIMETAJA NAFASI YA COORDINATOR II PEKEE
Ni kupambana tu kaka,ila watu kama sisi wenye roho nyepesi tulishasema hatutokuja kufanya tena interview za ao jamaa maana ni kupoteza mudaSeriously wanatukatisha tamaa watoto wa wakulima, sasa tukimbilie wapi
Jiulize hivi kwa nini utumishi hujawahi kuona wanatoa majibu ya usahili kwa majina,ila wanashortlist kwa majina? Haya majibu wangekua wametoa kwa majina ungekua umeshapata jibu nani kaongezekaHABARI WANABODI
Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili.
Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye interview yao ambayo imefanyika tarehe 03/01/2018 siku ya jumatano kwa nafasi ya COORDINATOR II mwajiri akiwa ni NACTE lkn UTUMISHI wao wanaajiri kwa niaba. Ambao tulioitwa kuhudhuria written interview hii jumla ni 282. Tulioweza hudhuria tulifika kwa mfano mie nimetoka mkoani lkn wapo ambao hawakuweza hudhuria ni kawaida hutokea.
MALALAMIKO NA KILIO CHANGU CHANGU
Sasa ndugu zangu watanzania hapo utagundua kwamba kuna mchezo wafanyika na hawa jamaa ambao tuliwaamini kwamba hata sie watoto wa wakulima twaweza pata ajira za serikali.
- Tuliitwa 282 kwa nafasi ya COORDINATOR II lakini tuliofika pale ni kama 170 kwa kukadiria.
- Matokeo yametoka leo yanaonyesha kwamba tuliohudhuria na kufanya mtihani ni 286. Sasa tuseme tulihudhuria wote kufanya ile interview, swali je hawa WANNE(4) waliozidi wametokea wapi yaani 286 kutoa 282 wapata nne.
Kwakuhitimisha ili tusichoshane kwa maelezo marefu
Kama kuna watu mmewaanda kwa ajili ya hizi kazi basi muwape tu kuliko kutusumbua kutoka mikoani, MNAKERA KWAKWELI.
- Kuna watu wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya hizi kazi, hawa wanne(4) walizozidi utumiishi watueleze wametokea wapi.
- Nadhani pia hawasahishi mitihani vizuri, hisia zangu kinachofanyika ni ukadiriaji tu wa maksi.
- Watahiniwa hawakuhudhuria wote kwanini sasa matokeo yatoke kuzidi hata idadi halisi ya walioitwa kuhudhuria interview yenyewe.
NIMEAMBATANISHA MAJINA YA SHORTLISTED NA MATOKEO KWA NAFASI YA COORDINATOR II KAMA USHAHIDI WA TUHUMA NILIZOZILETA, KUMBUKA NIMETAJA NAFASI YA COORDINATOR II PEKEE
Nilikuwepo jana hiyo, hayo maswali yote research yan bora wangetuambia tusome topic ya research tu. Tujaribu next timeHABARI WANABODI

Hivi kwani ni lazima uamini?Utumishi hawawezi kufanya mchezo wa kitoto kama unavyofikiri hawa kuwa wanataka kuwapachika kama unavyodai wangesema tu walikuwepo kwenye database then wakapewa barua za kuripoti kituo cha Kazi chamsingi ulipaswa kujiandaa vyema tu acha kulalamika vitu ambavyo havina mashiko