Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Mirunge haipo kwenye listi ya madawa ya kulevya ingawa haijaruhusiwa kufanywa biashara kisheria. Lakini haya mambo ya madawa nadhani yangehalalishwa tu ili kupunguza ukali wake. Ureno wamefanya hivyo na mafanikio yameanza kuonekana. Huku kwetu, kwa mfano, kitu cha mmea kinatumika kama mboga na watu wana akili sana.
Habari zenu wakuu ,
arusha as my reference point
kwanza nianze kwa kupongeza harakati nazo ziona ndani ya mkoa huu wa arusha kwa kuonekana jinsi walivyo na muitiko chanya kwenye madiliko hasa kwenye harakati za kuiondoa hii serikali ambayo tayari imeshaprove failure siku nyingi sana
mimi nina jambo moja baada ya kukaa hapa kwa kipindi kifupi hapa arusha hii kwangu ni kero kwa kweli na nifahamuvyo ulaji wa mirungi aka qaat, khat, ghat, gati, miraa, gomba, mbaga, veve, mti, kijiti, majani, maua …hadharani ni kosa kisheria sasa nistajabika kuona vijana wengi wanakula sana hii kitu tena hadharani
ingawa wanapiga sana ile kitu ya arusha lakini naona ili wamekuwastaarabu sana pamoja na viroba na ugoro
maswali ambayo najiuliza sana ni
je huu ulaji wa mirungi unachangiwa na vijana kukata tamaa na maisha kutokana ubovu wa hii serikali?
Mmonyoko wa maadili?
Mobb ?
Unaweza kukuta mtu katuna mdomo kama mbuzi kwenye daladala hivi kweli hii ni halali ni sawa hiz ni starehe lakini kuna haja yakushabikia issue kama hizi
nawasilisha
lina tija kwa taifa lenye kutaka mabadiliko au ndio mpaka katiba mpyana hili .Ukikaa karibu na mla veve na akikukera sogea pembeni kidogo ili usikereke.
Mwita, kwa sheria za Tanzania mirungi hairuhisiwi, inahesabika kama dawa za kulevyaMirunge haipo kwenye listi ya madawa ya kulevya ingawa haijaruhusiwa kufanywa biashara kisheria. Lakini haya mambo ya madawa nadhani yangehalalishwa tu ili kupunguza ukali wake. Ureno wamefanya hivyo na mafanikio yameanza kuonekana. Huku kwetu, kwa mfano, kitu cha mmea kinatumika kama mboga na watu wana akili sana.
mkuu makamanda wangu wa arachuga nawakubali sana wanamsimamo sana machalii wa hapa iakini kwa hili kwa kweli si wasupport kabisaaaaaaMwita, kwa sheria za Tanzania mirungi hairuhisiwi, inahesabika kama dawa za kulevya
Mwita, kwa sheria za Tanzania mirungi hairuhisiwi, inahesabika kama dawa za kulevya
Gharama za cocain na heroin ni kubwa kuliko za mirungi, kwanini tusishuhulikie kwanza swala la heroin na cocain ambazo zinaingia TZ kutoka mataifa ya mbali sana na hili la mirungi litafuata baadaye coz inapatikana nchi jirani ya Kenya ambapo imehalalishwa? Kama serikali imeshindwa kudhibiti matumizi ya ngada/unga/vialili inayoingia TZ tena kwa ndege je itaweza kudhibiti mirungi inayoingia TZ kutokea kenya tena kwa njia ya magari??lina tija kwa taifa lenye kutaka mabadiliko au ndio mpaka katiba mpyana hili .
sas mpaka watoto wasekondari wanapiga hii kitu hebu tuitazame wakuu kwa kinaa wanapata wapi hawa pesa za kununua hii mirungi jamani?
usipende kutafuniwa... kwanza shukuru kwa kuelimishwa, halafu nenda kaitafute sheria utakiona kifunguWeka kifungu
lina tija kwa taifa lenye kutaka mabadiliko au ndio mpaka katiba mpyana hili .
sas mpaka watoto wasekondari wanapiga hii kitu hebu tuitazame wakuu kwa kinaa wanapata wapi hawa pesa za kununua hii mirungi jamani?
nakuelewa mkuu lakini sio kuendelea kutetea watu kula mirungi kisa serikali imeshindwa kudhibiti madawa mengine ni jukumu langu pamoja na wewe kama unaona mirungi ni kitu kibaya kwa jamii kuelimisha wapunguze ikiwezekana waache kabisaGharama za cocain na heroin ni kubwa kuliko za mirungi, kwanini tusishuhulikie kwanza swala la heroin na cocain ambazo zinaingia TZ kutoka mataifa ya mbali sana na hili la mirungi litafuata baadaye coz inapatikana nchi jirani ya Kenya ambapo imehalalishwa? Kama serikali imeshindwa kudhibiti matumizi ya ngada/unga/vialili inayoingia TZ tena kwa ndege je itaweza kudhibiti mirungi inayoingia TZ kutokea kenya tena kwa njia ya magari??
Tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya tajiri na maskini inawasukuma wananchi maskini kutafuta namna ya kujiliwaza na kustarehe kwa vilevi vya bei chee, ili kutatua tatizo hili ni lazima uchumi wetu kuzingatiwa kwa umakini, iyo nguvu ya kupigia mbuzi gitaa kuelimisha wananchi waache mirungi ni bora tuitumie kuhamasisha serikali ifate mapendekezo ya kiuchumi yaliyotolewa na World Bank dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wa tanzania.nakuelewa mkuu lakini sio kuendelea kutetea watu kula mirungi kisa serikali imeshindwa kudhibiti madawa mengine ni jukumu langu pamoja na wewe kama unaona mirungi ni kitu kibaya kwa jamii kuelimisha wapunguze ikiwezekana waache kabisa
kweli tunafoutiana kimtazamo .mimi binafsi situmii kilevi chochote kwangu havina tija,ila inasikitisha sana kwa great thinker kama kuendelea kutetea hii kitu wewe mwenyewe unasema unasikia kilo ni mpaka 30,000/= sasa kwa logic ndogo tu uwezo wakupata hizi unatoka wapi jamani mbona tunapenda kutetea maovu penye ukweli tuseme tu hata kama unatumia kuwa muweazi ulezee na impactt zakeWe kinachokutouch nini haswa? Je? Kt ya pombe na mirungi we ungependelea kp? Ingali cjawahi ku2mia lakini nina mpango wa kuachana na lager nituwe humo maana nimepata tetesi ya kwamba ni kheri gomba kuliko pombe. Ila nasikia ni ghali sana kwn inauzwa kwa KG mpk Tsh.30,000 na hii ntaangalia tena.
ajira za namna gani hizo mkuu tujuzane?Huwezi sema sababu ya kula mirungi ni kukata tamaa mheshimiwa. Mirungi inauzwa ghali sana, unahangaika sana kuweza kununua hiyo mirungi, big G na coca cola. Na nyumbani ushaweka hela ya familia.
Hii inakuza ajira na kuongeza kuchakarika.
mkuu mirungi ni gharama , na mimi concern yangu kubwa ni kwa vijana hasa hawa wadogo tena wa sekondari wanapata wapi hela ya kununua mirungi jamani ?Tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya tajiri na maskini inawasukuma wananchi maskini kutafuta namna ya kujiliwaza na kustarehe kwa vilevi vya bei chee, ili kutatua tatizo hili ni lazima uchumi wetu kuzingatiwa kwa umakini, iyo nguvu ya kupigia mbuzi gitaa kuelimisha wananchi waache mirungi ni bora tuitumie kuhamasisha serikali ifate mapendekezo ya kiuchumi yaliyotolewa na World Bank dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wa tanzania.
Maskini aliyekata tamaa anakula chochote anachoona kinamfaa bila kuogopa coz hana chakupoteza.ajira za namna gani hizo mkuu tujuzane?
hivi ni sifa kula mirungi ?
nafahamu hii maada imewatouch wengi ila wekeni ushabkiki kando tutendeni kwenye fact mirungi naYO ni MADAWA YA KULEVYA WAKUU .
nasupport movement nyingi sana ila kwa hili hapana ni mtazamo tu namsetegemee kunibadilisha kwa hichi nacho amini
Hivi hujui kuwa mirungi inauzwa kuanzia elfu nne?? Sitetei ulaji wa mirungi ila nataka ujue kuwa mirungi ni ulevi mkubwa wenye gharama ndogo that y hao watoto wanakimbilia.mkuu mirungi ni gharama , na mimi concern yangu kubwa ni kwa vijana hasa hawa wadogo tena wa sekondari wanapata wapi hela ya kununua mirungi jamani ?
serikali ya ccm imeshindwa kazi hilo sikati lakini je ulaji wa mirungi nao tuutete kweli?
Hivi hujui kuwa mirungi inauzwa kuanzia elfu nne?? Sitetei ulaji wa mirungi ila nataka ujue kuwa mirungi ni ulevi mkubwa wenye gharama ndogo that y hao watoto wanakimbilia.