Utumbuaji: Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano!!!

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Habari wakuu
Naomba kuuliza hivi hii wizara iliyokuwa chini ya 'mtukufu rais' sijapata kusikia ikisafishwa a.k.a kutumbuliwa wakuu wake ina maana ni wizara iliyokuwa imejaa 'wasafi, waadilifu na Wachapakazi'yaani hata wahusika wa ile boti pendwa ya Mv Darisalama hawajaguswa katika uhusika wa namna moja au nyingine??
Hata hizi bandari kuwa na perfomance nzuri hayasomeki.
 
Si kuna wale mabosi wa reli walitumbuliwa mwaka jana?

Kwenye kivuko huko unatafuta mengine......mi simo!
 
Back
Top Bottom