Utumbuaji majipu unaominya Uhuru wa habari. Je, hili ni sahihi?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,229
23,918
Ni jambo linalochanganya wengi na pia kustaajabisha maelfu.

Waandishi wa habari ni moja ya chachu kuu na funguo aina ya mastrerkey katika kuhabarisba umma wa watanzania, ikiwapo kufichua baadhi ya maovu mbalimbali.

Serikali inayosema inatumbua majipu huku ikibana habari mbalimbali kama habari za bunge hakika inastaajabisha!

Kubana uhuru wa kihabari is mojar symptoms of dictatorship to squezze source of information by filtering truth, infact you blinds we peoples.

Rais wetu mpendwa tunaomba tuone bunge live!
N.b
***
Ufichuaji uovu,na uminyaji wa taarifa ni sawasawa na (+,-) bali ufichuaji uovu na uhuru wa kihabari ( hawa ni ndugu ).

Pia sifikiri kama wazo hili ni la Rais wetu,suala hili lipo kisiasa zaidi au kichama zaidi.

Hii ndio hatari ya kuchanganya siasa na utendaji.
 
Sasa hivi ndio tutadanganywa mpaka basi!
Wabunge watalala bungeni watakavyo....
CCM watapeta watakavyo.
Upinzani wataonewa maradufu!
Hii nchi ina tofauti gani na Somalia katika hili?
 
Yaani kiukweli inasikitishaa hata wawakilishi tuowachagua Xdhani kama tutawaona wakitupigania maana now hatutajua wanafanya nn huko bungeni
 
...tatizo tunachanganya utendaji na Siasa!
*mwanasiasa siku zote protectives gears zake ni usiri ,faragha na hila.
*mtendaji ni professionalist on certainly job.
problems is if we mix this!
 
Sasa hivi ndio tutadanganywa mpaka basi!
Wabunge watalala bungeni watakavyo....
CCM watapeta watakavyo.
Upinzani wataonewa maradufu!
Hii nchi ina tofauti gani na Somalia katika hili?
Hamia somalia basi utuachie nchi yetu
 
Mi naona sasa hii ni sanaa na kana kwamba sasa hata hili bunge nalo ni jipu tena linahitaji huduma ya dharura wanataka kumkatisha tamaa jpm uwezo aliouonyesha na dhamira ya kweli kuirudisha nchi kwenye heshima sidhani kama hili limetoka kwake siamini huu mpango namwomba rais aingilie Kati hizo ni mbinu chafu
 
Mbona uzi kama huu uliishakuja zamani saana na ulijadiliwa saana,ila umeuleta kwa style ya kivyako.
Lazima utakuwa unaishi Dar wewe,watu muache kufanyakazi mkalie kuangalia Bunge kutwa nzima?
Kama Mbunge ni mtendaji kazi utampima akija jimboni kwako na utampima kwa maendeleo ya jimbo lako na sio kuongea saana Bungeni.
Na kama ni mambo muhim ya maendeleo mtaletewa kwenye vipindi maalum vya Bunge.
Tumechoka mipasho tunataka watu wafanye kazi,hivi hamuoni aibu kuitwa wapoteza Muda na wazembe wa maisha kwa kupoteza muda kwa vitu visivyo na msingi?
Wazo ni zuri,iwe live isiwe live cha msingi habari utaikuta tu.
Halafu wengine nis ifa tu,maana hata ilipokuwa inaonyeshwa Live walikuwa hawatizami hadi wasikie kuna mipasho,hizi ndio akili zetu zilivyolemazwa na wanasiasa uchwara.
 
Back
Top Bottom