Utulivu wakati wa kupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utulivu wakati wa kupiga kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chumvi1, Oct 31, 2010.

 1. C

  Chumvi1 Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani hakuna uchaguzi ulio makini kama wa leo.nec walijiandaa vizuri utaratibu wa kupiga kura nimeukubali hata asiyejua kusoma na kuandika atapiga kura yake maana vijana wa kuelekeza wanajua kazi yao.
  Kilichonifurahisha pia jamani watu wamejitokeza wengi sana hasa vijana nao wameamua maana ni wengi katika kituo chetu cha mbagala kuu mpaka raha nikasema time for change has come.
  Tusubiri matokeo tuu big up nec
   
Loading...