Utulivu wa nafsi na akili

Utulivu wa nafsi na akili

Wapo sehem gani? Akili na fikra zimejaa zinahitaji namna ya kupunguza msongo.

Kwenye baadhi ya malls, Kama vile msasani, pia niliambiwa walikuwaga Makumbusho Millenium towers Ila Siku hizi nasikua hawapo pale, Kwenye malls ngoja kuna Watu wa Dar nitawauliza wadau wa hiyo kutu watanipa update za hao wakorea!
Wako vizuri Kwenye aina ya meditation process zao!
 
Yani kupitia meditation Mtu anaweza kuondokana na aina zote Za attachments Kama vile matukio ya kufiwa na wapendwa, matendo mabaya ambayo Mtu aliwahi fanya au fanyika,
Ndoto za matukio ya zamani na sasa n.k
 
usitake kufanya kila hatua kama wao lengo lako umeshajua kua unataka utulivu wa nafsi na akili bhasi

ni rahisi wakati naanza nilipata shida sana kwa kua nilitaka kufanya exactly kama wao ila baadaye nilikuja kuona ni ngumu kutokana na utofauti wetu wa nafsi akili na mazingira.

Leo nafanya meditation popote hata bar nikilewa naweza kutafuta dakika tano tu na kuzingatia amani ya akili na nafsi yangu na kufurahia sana.

kwa maneno marahisi meditation ni kupata utulivu wa nafsi na akili na kuufurahia wakati uliopo.

unaweza kufanya popote na vyovyote kikubwa ni kuifundisha akili yako kuazimia kuanza

nakutakia kila la kheri katika kujaribu tafuta namna yako ya kuanza pata kujifahamu kwanza
Meditation hata ukiwa unatembea you can do it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom