Noe_wenc87
Member
- Oct 25, 2018
- 8
- 5
habari zenu wakuu ...kuna kitu kinanitatiza na nahisi kwangu kina umuhimu ...suala la utulivu wa akili yaani Meditation .
Nimesoma kwenye post tofauti tofauti zilizopita humu na katika blogs kadhaa lakini bado cjajua naweza vipi kufanya meditation ..Tafadhari mwenye uelewa juu ya hili msaada naomba kwa lugha nyepesi ambayo naweza kuelewa .ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutafuta nikaona kiimyaa
Utaanza kuona binadamu wote ni Sawa , Utawapenda Watu wote bila kujali udhaifu na makosa yao!
Hutakuwa mwepesi wa kuwaka hasira! Utakuwa mwepesi wa kusema ukweli hata Kama umefanya makosa! Hutatafuta kujitetea!
Sh.ngapi?Kuna jamaa flani Wakorea wako wanakaaga Kwenye baadhi ya maeneo na vipeperushi, kuna vituo vyao wanaelekeza namna ya kufanya Meditation, tena njia zao nzuri na fupi kiasi cha kuona matokeo mapema!
Kuna kulipia lakini !
Mbona we ndo upo kimya mkuuNimekutafuta nikaona kiimyaa
Nipo sasa mkuu,.karibu tena😊Mbona we ndo upo kimya mkuu