Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Aliuleta "mwanzo" halafu yeye mwenyewe akauleta na "mwisho"

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,238
Kwamba wakati wengine wanahangaika usiku na mchana kutangaza kazi kubwa ya maend.jpg

Hatimaye mwisho wa CCM umefika rasmi, Hongereni Watanzania kwa dua zenu, tunawashukuru kwa kukesha na kuomba kwa miaka mingi, Mungu wenu ni mwaminifu sana, Amejibu maombi yenu japo ni kwa kuchelewa sana, aliwapa muda maadui zenu ili wajisahihishe wakauchezea, sasa ameamua mazima.

TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA, TENA TUTASHINDWA KWELI KWELI - KIKWETE
 
Bado nimepigwa na bumbuwazi Mkuu kuwaona mafisadi Mkapa na Kikwete jinsi walivyo kimya kabisa kwenye hili sakata la mhuni MSIBA.

Hawa ndiyo waliotuletea hili balaa kubwa nchini la huyo nduli na dikteta baada ya kumsukumizia Ikulu. Pamoja na kuwepo ushahidi wa kutosha wa maovu mbali mbali yanayofanywa na huyo nduli lakini wameamua kupiga kimya cha kutisha. Sijui ni kipi hasa kinachowafanya wamuogope huyo mwendawazimu kiasi hicho.

Ingekuwa wameitwa kwenda kusuluhisha mgogoro katika moja ya nchi za Africa wangekuwa wameshafika nchi husika siku nyingi.

Tunaoitakia nchi yetu mema tunataka sana kuraruana huku hadharani kuendelee mpaka kieleweke ili wengi nchini watie akili kichwani na hivyo kuona huyo mhuni hastahili awamu nyingine ya miaka mitano.
 
SAKATA HILI SIO MWISHO WA CCM, BALI HUENDA LIKAMALIZA MAKAMBI HUMO CHAMANI NA KUKIACHA CHAMA IMARA, JAPO UIMARA WENYE MASHAKA (NIDHAMU YA WOGA NA UMBEA)!
NB: 1) TUTARAJIE WAHANGA, NDANI YA CCM!
2) SIMU ZILIZOVUJISHWA NA UKWELI WAKE VITALETA BALAA AU ........ TIME WILL TELL!
 
Tatizo ni nguvu za kiti cha urais ni kubwa mno na wao wanajua hilo ndio maana wako kimya sio kama wanapenda, mbaya zaidi ukizingatia mtu mwenyewe ni hamnazo, naamini wanasubiri muda muafaka lakini kwa sasa ni mapema mno.

Lazima kuna point itafika jamaa atabaki peke yake na hapo ndipo atakapo wahitaji hao wazee nazani hapo ndio itakuwa point ya wao kuingilia kati.
Bado nimepigwa na bumbuwazi Mkuu kuwaona mafisadi Mkapa na Kikwete jinsi walivyo kimya kabisa kwenye hili sakata la mhuni MSIBA.

Hawa ndiyo waliotuletea hili balaa kubwa nchini la huyo nduli na dikteta baada ya kumsukumizia Ikulu. Pamoja na kuwepo ushahidi wa kutosha wa maovu mbali mbali yanayofanywa na huyo nduli lakini wameamua kupiga kimya cha kutisha. Sijui ni kipi hasa kinachowafanya wamuogope huyo mwendawazimu kiasi hicho.

Ingekuwa wameitwa kwenda kusuluhisha mgogoro katika moja ya nchi za Africa wangekuwa wameshafika nchi husika siku nyingi.

Tunaoitakia nchi yetu mema tunataka sana kuraruana huku hadharani kuendelee mpaka kieleweke ili wengi nchini watie akili kichwani na hivyo kuona huyo mhuni hastahili awamu nyingine ya miaka mitano.
 
Na ni wazi kuwa sasa hivi uoga wake umekuwa mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Tatizo la watu kama yeye linaweza kufanana na kiduku wa Korea.
Hawaeleweki, jee woga utamfanya arudi kuwa mnyenyekevu au atumie silaha za maangamizi ( nuclear) akisema potelea mbali?
 
Hakika ukuu wa Mungu hauwezi linganishwa na kitu chochote kile

Mungu husikiliza kilio cha waja wake, ingawaje wakati mwingine tutaona kama amechelewa
 
Back
Top Bottom