utuambie

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
292
sema ukweli wako,hivi dingi yako alikuwa anakuwa wa ngapi darasani?kama yupo karibu muulize!
 
Me dingi wangu kutwa ni kujisifia eti alifaulu peke yake kijiji kizima na baada yake ilichukua miaka mingi mwanafunzi mwingine kwenda sekondari. Na pia eti shule ilikuwa kilometa kumi na tano toka kijijini na hakukuwa na sekondari jirani, yaaaani kutwa ni kujisifia!!!!!
 
tehe teheee,dingi yangu ye anadai walifaulu wanne tu kwenda middle school,mh!
 
doesnt help anything hata kama alikuwa wa kwanza au wa mwisho, kinachotakiwa ni mshiko and power meeeeeeeeeeeeeeeen.
 
Hao kina misifa maisha yao hoi bin taban Oh mi nilisoma na waziri fulani usimuone hiv darasan alikuwa akinitazamia, anaongea hayo wkt ananinginia kwenye matatu surual ina viraka saba lkn ****** yanaonekana kila kiraka kinauliza wee mwenzangu kakuweka mwaka gani manake mimi nina karne hapa lkn kati yangu na wewe cjui katangulia nani naanza kupoteza network
 
dingi yeye anasema kila mwaka yumo 3 bora kuna mawaziri kama watatu alikuwa anawakoa sana shuleni
 
Back
Top Bottom