Uttorent + idm + google + ( what you want) = goforfiles

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
OK..... USHAWAHI FIKILIA UPATE SOFTWARE YENYE FUNCTIONS ZOTE ZILIZO KWENYE HIZO SOFTWARE IN ONE PACKAGE.....HEHE IST I THOUGHT IT WAS A DREAM THEN I REALIZE IT IZ TRUEEE....NO MORE TORENT NO MORE IDM NO MORE GOOGLING....JARIBU SASA HII GoforFiles Ni kaprogram kamoja tu kana fanya kazi kama utorrent na idm kwa pamoja.....jaribu leo wakuuu ni mb 5 tu cheers!!!!!!!
 
hii kwani ina tofauti gani na express file c ni yaleyale tu halafu kwanza downloader yao iko slow mbaya usilinganishe na IDM.
 
may b ila speed iko fast sana inategemea na connection yako...pia inafana na idm kwa vitu vingi kama pause n resume na spidii iko safiii mkuu
hii kwani ina tofauti gani na express file c ni yaleyale tu halafu kwanza downloader yao iko slow mbaya usilinganishe na IDM.
 
Back
Top Bottom