Hivi ni kweli CRDB WALIPIGWA?Wakala wao mkuu CRDB iliposumbua na wao wakasumbua kidogo. Ila wamerejea hewani
Hivi ni kweli CRDB WALIPIGWA?Wakala wao mkuu CRDB iliposumbua na wao wakasumbua kidogo. Ila wamerejea hewani
Hapo kwenye kuelezea ndiyo kipengele, tafuta nyuzi kuna watu wameelezea vizuri shemShem nipe ABC kuhusu hiyo kitu
Mim nataka mwenye experience kama ww unielezee, njoo inbox kama hutojaliHapo kwenye kuelezea ndiyo kipengele, tafuta nyuzi kuna watu wameelezea vizuri shem
Ila kwa mambo yalipofikia....imani imekua chini sanaMKuu serikali ikiamua,hata hivyo vihela vyako ulivyoweka nmb watachukua na huna cha kufanya,halafu muelewe UTT hawatunzi pesa ya mtu,wao wakichukua hyo pesa yako,wanaenda kuwekeza maeneo mbali mbali,ikiwemo kwenye mabenki kwenye account maalumu za riba,wanaweka hela kwenye bond za serikali na pia wanaweka kwenye Hisa..
Ile faida ikipatikana,ndo unalipwa wewe sasa.
Sawa shem ngoja nikituliaMim nataka mwenye experience kama ww unielezee, njoo inbox kama hutojali
Inaweza. Zipo taasisi zimewahi kucollapse zikiwa na pesa za watu. Inaweza kutafutwa sababu nzuri tu na mtaelewaUTT haiwezi sumbua.
CRDB alivyozingua UTT naye akawa kasuasua.
PoaSawa shem ngoja nikitulia
Acha uchoyo, elezea hapa ili na wengine tufahamu jamani😊Sawa shem ngoja nikitulia
Nenda chat GPT atakuelezea vizuri 😅Acha uchoyo, elezea hapa ili na wengine tufahamu jamani😊
Mfuko wa UKWASIWakuu nilitaka kughairi kuwekeza ila nashkuru mmenitoa wasi wasi
Mfuko Gani ndani ya UTT AMIS ndio uko poa kuwekeza kwa sisi wenye Mitaji Midogo midogo?
Wanasumbua na wanazurumu wateja, miaka 4 hata taarifa hawatoi na pesa hamna!.UTT haiwez sumbua mkuu, labda serikali ife
Shem nakusubiria ushushe nondo hizoNenda chat GPT atakuelezea vizuri 😅
Apia!!Wanasumbua na wanazurumu wateja, miaka 4 hata taarifa hawatoi na pesa hamna!.