Utotoni watu wamelamba sana hii

mi nilikuwa napenda zile za ukwaju.rangi yake zinakuwa kama za kahawia.
 
Hata mama zao wakiwa katika harakati za kuwaleta duniani!

Nakumbuka skuli nkishakununua kachori na badia yenye chatne ya mapilipili napozea na hiyo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hahahahaha umenikumbusha mbali wewe primary school nilikuwa nakula hata tano per day
 
Ngoja nikim bie kwenye jokofu kukumbushia
 
Hahaaahaa mimi toka utoto mpaka sasa, yaani sikui tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…