Utoto raha

Nawaonea huruma watoto wa siku izi hawapati rahaa,ata kucheza goroli hawajui kutwaa ndanii akijitaidi gemu

Sent from mTalk
 
ukiwa na mtu mnamchukia unamwekea jiwe
Mbaya sana ile. Kuna siku, maskini mzee mtu mzima alijifanya mjuaji, atuonyeshe alivokuwa ujana wake, asijue ndani tumeeeka jiwe! ........!
 
Mbaya sana ile. Kuna siku, maskini mzee mtu mzima alijifanya mjuaji, atuonyeshe alivokuwa ujana wake, asijue ndani tumeeeka jiwe! ........!
halafu nyie mnakuwa manapiga kama hamtaki mzee anaupiga hasa mtu mzima analia
 
Katika timu yetu, ilikuwa kama ukitaka kujiunga nasi na hatuna mpango na wewe, tulikuwa tunakupa kazi ya kusokota "mipira" mi5 au zaidi!
 
halafu nyie mnakuwa manapiga kama hamtaki mzee anaupiga hasa mtu mzima analia
Eeeeeh best, daah, yule Mzee nakuambia tulimuacha peke ake, hakuna aliebaki! kila mtoto alitafuta uchochoro wake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…