Halafu unategeshwa barabarani atakayejipendekeza kupiga kitakachofuata ni kuugulia maumivu na mara nyingi lazima ukucha ung'okeKwetu iliitwa masambi watot wako bize wanasuka kitu kinakuwa kigum kama ndan kuna jiwe Hahahahha utot raha
Nimeng'oa sana kucha sababu ya huu mchezo.Chandimu Hiyo. Toa sana kucha
Kidole gumba kiliteseka sana.Nimeng'oa sana kucha sababu ya huu mchezo.
Kweli siijui sura yako. Si unajua ulikuwa una ni rep usingizini ha ha ha[emoji3] [emoji3] [emoji3] cute b my dia ina maana kweli kabisa sura yangu huijui
[emoji102]Jamani mm mwenzenu nilikuwa wakishua.
Nabaki ndani 24hrs
Naenda shule napelekwa na ndiga nikirudi nyumbani full kunywa uji na kulala
Kucheza labda game TV.
Kama PS , Xbox
Sijawahi kucheza michezo mingne ya uswazi ......
Kweli tena nilikuwa naboreka mno[emoji102]
Ngoja nije tucheze huo mpira wa sodo utanifundishaa[emoji15] [emoji87] [emoji102]
nimecheza sana huu mchezo mtani.. kuna ile yakumwingiza mwenzio tobo halafu anakimbizwa anapigwa ngumi za kutosha tu..Umejuaje mtani
mshana jr umekamatika Leo. LIVE AND EXCLUSIVEankooo! leo tumekumata, ndiwe pichani kulinganisha na avatar!? : nyuso mshabaha, aina za mashati (mraba), mtindo wa kutofunga vishikizo vya kola, unene, rangi ya ngozi!!