Utoto raha

Sasa hapo mbona hukuvaa mawani[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Aise mbona ameubeba mkononi au kun mtu anacheza na viatu, kaamua aubebe mpira wake? ie. Mwenye mpira kazila
 
Kwetu iliitwa masambi watot wako bize wanasuka kitu kinakuwa kigum kama ndan kuna jiwe Hahahahha utot raha
 
Nimetengeneza sana hiyo na kucheza na wadogo zangu wa kiume!ilikua raha sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…