Utoto raha sana

Tanzania hivi vitu hamna vilivyopo ni vya hali ya chini sana wenzetu wanajua kuwaandaa watoto kuifurahia dunia sio sisi mtoto akizaliwa ni dhahama mwanzo mwisho na ndio maana manunda yapo mengi.
 
Iyinga ni safi na ya ukweli lakini penye kundi la vipofu chongo huwa mfalime
 
nikiwa utotoni sijakutana na hivo vitu,je itakuwa aibu mzee mzima ujiachie humo uone raha yake?

Panda mkwe raha jipe mwenyeo mie pipi za mchuchu wako nakula mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…