Utongozaji chanzo cha mizinga

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Vijana wengi wamekuwa wakilalamika hapa kuwa wanawake wanawapiga mizinga sana huku wakisahau kuwa chanzo cha kupigwa mizinga ni wao wenyewe hasa nyakati za utongozaji maana siku hizi vijana hutumia nguvu kubwa sana wakati wa kutongoza ikiwemo kujiproud na kujiexpose kuhusu mali.

Kazi uliyonayo na uwezo wa kifedha kwa ujumla kwa lengo la kumvutia mwanamke ili akubali kuwa nae na wakati mwingine kudanganya mfano unatongoza mwanamke unamwambia/ unamdanganya mshahara wako 2.m kwanini asitake angalau laki tano kwa mwezi au kwanini asiombe kununuliwa kiwanja.

Dume zima unaazima gari kwenda kutongozea ukiombwa 50000/= unakuja kulialia humu ooh wanawake wanatupiga mizinga, hivi mnafikiri hao wanawake hawana akili.

Kwanini kama unampenda mwanamke usimwambie ukweli wa maisha yako ili hata kama atakukubalia basi iwe hajavutwa na nguvu fulani maana kama utamwambia mwanamke kuwa unakipato kikubwa basi na yeye atapiga mzinga mkubwa akijua unazo.

Hakuna mwanamke utakaemwambia maisha yako halisi akaomba zaidi.

Badilikeni makamanda dunia ni yetu.
 
msione vyaelea vimeundwa, otherwise tongoza wa sample yako
 
Hawa wanawake ukiwaambia ukweli hata uende kwa waganga hutawapata.
 
mleta maana rudi ukafanye research vizuri...........kuna watu wanapiga kizinga hata baada ya kupata namba ya simu tu!
 
sasa ww umemkuta mwanamke kavaa kapendeza...kanawiri....unadhani pesa haijatumika hapo?...wake zetu home wanatupiga mizinga ndio iwe hawa vimada wa nje...kama unazo toa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…