Natumia nukuu hizi zilizotolewa katika vipindi mbali mbali na wapinzani,JK nchi imemshinda imejaa wezi na wala rushwa na wazembe ,kuleana na kutokuchukuliana hatua,imejaa muchakato isiyo na tija kwa masikini.
Hizo ndo kauli za upinzani wa chini ya Dr Slaa.
Wa Lowassa sasa,
Wezi wasikilizwe kwanza, wazembe wanaoomba rushwa kufanya operation za wagonjwa wasikilizwe na wasichukuliwe hatua.
Kwa mtu mwenye akili timamu unajua uvundo huu unaowasumbua UKAWA ni matokeo ya oil chafu ya CCM inayowaongoza.
JPM piga kazi, achana nao.