Utofauti wa TV hizi ni nin

Utofauti wa TV hizi ni nin

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari wadau utofauti kati ya Tv ambayo ni smart android tv na smart tv tu nini Chief-Mkwawa
lampard_electronicss-20210317-0001.jpg
lampard_electronicss-20210707-0001.jpg
 
Hiyo android tumeitumia nimeipenda kwa sababu kama una smart phone na una bundle una connect kwa blue tooth halafu chochote unachotaka kuangalia say movie, mziki mpya au chochote unaangalia kule kwenye big screen ya TV. Mfano You tube unaipata kule kwa TV kama umejiunga Netflix ma muvi yote unaangalia kwenye TV yako.
 
Hiyo hata Smart tv inafanya vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Android ni mfumo unaotumika kuendelesha kifaa husika, na kila smart tv ina mfumo wa kuendesha (Operating system)

Kama inatumia mfumo (OS) wa Android basi hiyo ni android TV na kama inatumia mfumo usio Android basi ni smart TV inayotumia mfumo tofauti na Android. Mfumo huo unaweza kuwa proprietary system (OS) iliyotengenezwa na mtengenezaji wa TV hiyo.
 
Habari wadau utofauti kati ya Tv ambayo ni smart android tv na smart tv tu nini Chief-Mkwawa
View attachment 1925282View attachment 1925284
Zote mbili ni Android Mkuu,

Vidaa ni customized version ya Android kwenye Hisense, sema imefungwa balaa wanaruhusu tu apps chache wanazotaka wao, kifupi wanakulimit kwa partners zao tu huna uhuru.

Android tv ni version ya Android toka kwa Google wenyewe, ina playstore na features nyengine, unaweza eka apps kadri unavyotaka mwenyewe.

Kama ni mpenzi a wa smart tv na apps zake achana na Vidaa, chukua android TV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom