Utofauti wa mtazamo kati ya Rais Magufuli na Mkapa katika suala la Idadi ya watu na maendeleo

Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,658
2,235
Rais wetu anasema kuzaana pia ni maendeleo.

Benjamin William Mkapa My Life, My Purpose (uk 247) anatazama kitofauti:

...If you don't talk of population policy - that you don't bring children into this world unless you can feed them, educate and care for their health - then you will have an implosion. The total population was 27.4 million when I took office in 1995; this grew to 36.1 million in 2005, a population increase of 31.7% during the ten-year period of my presidency.

This meant that as I struggled to reduce poverty and improve services in the education, health and water sectors, though what I achieved would never be sufficient, as the need grew as population grew. The number of idle youth I see hanging around on the streets is worrying, we are not developing fast enough to provide employment for these young people.

This is a big problem with Africa, our economic growth is not matching our population growth. The growth of the number of citizens in a country is not a measure of development, in fact it can be a restraint to development.

It is a failing of many African states that we don't have serious discussion about the potential consequences of the lack of population policy in our countries...
 
Na ni mpaka tutakapokubaliana na huu ukweli, ndipo tutaachana na hii mark-time tunayopiga. Dar es Salaam ni kati ya majiji 20 yanayoongoza kwa ongezeko la idadi ya watu Duniani; na kwa Afrika, ni jiji la nne.

Tuache unafiki na tukabaliane na suluhu za kisayansi. Tuache kuweka mbele mitaji ya kisiasa.
 
Kulinganisha Tanzania na China au India (ambao kila moja ni karibu bara zima) kwa idadi ys watu na maendeleo ni kutokuwa mkweli. Angalau basi angelinganisha bara letu la Afrika na nchi hizo.
 
Hakuna msomi yoyote dunian asiyejua kuzaliana bila mpango ni global threat! Suala la kujadiri hapa , bila kujari rais aliwai kusema nini, ni ..NI NJIA GANI BORA ITUMIKE KUDHIBITI KAS YA KUZALIANA? Njia za kuhamasishana tu, Africa hazijawai kuzaa matokeo chanya kwa wakat. 2020 inabid Tanzania tuwe walau mil 30 tu.
Nashauri :
wasichana wa shule wadungwe dawa ya kutobeba mimba kabisa kwa nguvu. Au dawa iwekwe kwenye vyakula visivyokwepeka.
Wanaume wapewe njia bora ya wao kutokuwa na uwezo wa kubebesha mimba bila kuathir nguvu zao za kiume. Kuna mimba nying hata wao wanakuwa hawazitak pia na wao ndo visababishi vikuu kuliko wabebaj.
Sheria ilegezwe kuwepo mwanya wa kutoa mimba km haijazid miez flan. (Wa iman zenu mtanisamehe serkal haina dini)
Itungwe sheria ya kudhibit kiwango cha mtu kuzaa hasa vijijin. La awalipie kodi maalum.
Na iundwe kamat maalum Taifa had kijiji kutoa elim na kudhibit uzaz holela.
Yote yakishindikana bas serkal iingie makubaliano na wanasayans waanzie kwenye mazao ya chakula kudhibit ubebaj mimba, LAKIN SI NGUV ZA KIUME TAFADHAR
 
Rais wetu anasema kuzaana pia ni maendeleo.

Benjamin William Mkapa My Life, My Purpose (uk 247) anatazama kitofauti:

...If you don't talk of population policy - that you don't bring children into this world unless you can feed them, educate and care for their health - then you will have an implosion. The total population was 27.4 million when I took office in 1995; this grew to 36.1 million in 2005, a population increase of 31.7% during the ten-year period of my presidency.

This meant that as I struggled to reduce poverty and improve services in the education, health and water sectors, though what I achieved would never be sufficient, as the need grew as population grew. The number of idle youth I see hanging around on the streets is worrying, we are not developing fast enough to provide employment for these young people.

This is a big problem with Africa, our economic growth is not matching our population growth. The growth of the number of citizens in a country is not a measure of development, in fact it can be a restraint to development.

It is a failing of many African states that we don't have serious discussion about the potential consequences of the lack of population policy in our countries...
Mmoja kati ya viongozi hawa ni reasonable na mwingine yeye hana kanuni anaongea tu kufurahisha watu ili mradi apigiwe makofi. Nafikiri ndio tofauti zao. Na hili ni tatizo la wakati huu na kwa bahati mbaya wengi wa wapiga kura wetu akili zao ni mbovu zaidi, hivyo watapiga makofi kusapoti kuzaliana kama panya.
 
Hilo pia Mkapa kaliongea kuwa tatizo; siasa za pupularism.
 
An empty mind is the workshop of evils - serikali iwaweke watu busy kwa kuwapa elimu ya stadi za maisha na kuwawezesha kadiri iwezekanavyo.
 
Hakuna msomi yoyote dunian asiyejua kuzaliana bila mpango ni global threat! Suala la kujadiri hapa , bila kujari rais aliwai kusema nini, ni ..NI NJIA GANI BORA ITUMIKE KUDHIBITI KAS YA KUZALIANA? Njia za kuhamasishana tu, Africa hazijawai kuzaa matokeo chanya kwa wakat. 2020 inabid Tanzania tuwe walau mil 30 tu.
Nashauri :
wasichana wa shule wadungwe dawa ya kutobeba mimba kabisa kwa nguvu. Au dawa iwekwe kwenye vyakula visivyokwepeka.
Wanaume wapewe njia bora ya wao kutokuwa na uwezo wa kubebesha mimba bila kuathir nguvu zao za kiume. Kuna mimba nying hata wao wanakuwa hawazitak pia na wao ndo visababishi vikuu kuliko wabebaj.
Sheria ilegezwe kuwepo mwanya wa kutoa mimba km haijazid miez flan. (Wa iman zenu mtanisamehe serkal haina dini)
Itungwe sheria ya kudhibit kiwango cha mtu kuzaa hasa vijijin. La awalipie kodi maalum.
Na iundwe kamat maalum Taifa had kijiji kutoa elim na kudhibit uzaz holela.
Yote yakishindikana bas serkal iingie makubaliano na wanasayans waanzie kwenye mazao ya chakula kudhibit ubebaj mimba, LAKIN SI NGUV ZA KIUME TAFADHAR
Nafikiri elimu ni bora kuliko kufanya mambo kwa nguvu, kinyume na imani za watu au kwa kificho. Tatizo ni pale unapowaaminisha watu kuwa kuzaa watoto wengi hakuna tatixo (hati mrafi uwe na nguvu) wakati unajua hata serikalini ni tatizo kwa huduma unazozitoa. Tembelea tu shule zetu za msingi uangalie wanafunzi walivyojazana darasani...utafikiria ni wa Chuo Kikuu wakiudhuria muhadhara. Je unatarajia unajenga msingi wa kujifunza hapo?
 
Tatzo lolote likishaanzia kwenye elimu, lazima limalizwe kielim. Lakin la kuzaliana sio elim tu. Kuna kikubwa zaid. Mila na desturi. Had leo kuna ma prof wanajivunia kuwa na uzao mwing na wanataman risala ya maziko yao iwe sehem ya utajir wake na sifa. Ndo naona ikibid zitumike njia za siri kunusuru. Huwa najskia vibaya kuona mtoto mdogo anaranda randa hana mwerekeo. Kuna nchi kwa miaka 50 hawajaongezeka. Sis duh!
 
Moja wapo la kudhibiti population ingewezekana ni kuzuia kuzaa nje ya ndoa. Na kulazimisha wanaume kuwa responsible kwa kila mtoto atayezaa kuanzia kuzaliwa mpk kufika chuo kikuu. Sasa hv unakuta mwanaume kazaa na wanawake 4 na wote si wake zake. Ustawi wa jamii wanamwambia toa laki moja ya matunzo basi kamaliza. Wazazi wakiwa responsible kama inavyotakiwa huwezi kuta wamezaa kama kuku. Wenzetu wamefanikiwa kiasi kikubwa kudhibiti hili kiasi wanaogopa kufyatua hovyo. Mambo ya kila mtoto anakuja na riziki yake ni upotofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu anasema kuzaana pia ni maendeleo.

Benjamin William Mkapa My Life, My Purpose (uk 247) anatazama kitofauti:

...If you don't talk of population policy - that you don't bring children into this world unless you can feed them, educate and care for their health - then you will have an implosion. The total population was 27.4 million when I took office in 1995; this grew to 36.1 million in 2005, a population increase of 31.7% during the ten-year period of my presidency.

This meant that as I struggled to reduce poverty and improve services in the education, health and water sectors, though what I achieved would never be sufficient, as the need grew as population grew. The number of idle youth I see hanging around on the streets is worrying, we are not developing fast enough to provide employment for these young people.

This is a big problem with Africa, our economic growth is not matching our population growth. The growth of the number of citizens in a country is not a measure of development, in fact it can be a restraint to development.

It is a failing of many African states that we don't have serious discussion about the potential consequences of the lack of population policy in our countries...

Kanuni za uchumi zinasema hivi; ili uweze kuuza bidhaa zako, ni lazima pawepo na soko, na soko ni watu. Kwa muktadha huu, ili kuwe na soko kubwa ni lazima kuwe na watu wengi, they are direct proportional. Na mifano ni Marekani na China; angalia population yao.

Kuna mataifa fulani ya magharibi sasa hivi tunavyoongea wanapromote watu wazaliane, baada ya kugundua walifanya makosa hapo awali, na hii ni baada ya kuona jirani zao wanapiga hatua ya maendeleo na wao wako palepale.

Mambo makuu mawili katika uchumi ni supply na demand; supply ni bidhaa tunazopeleka sokoni kwa ajili ya kuuza, hivyo ni lazima kuwepo na watu wa kutosha kwa ajili ya kuzalisha bidhaa hizi, na demand ni watu wanaohitaji bidhaa hizo kwa matumizi mbalimbali (inaweza ikawa ya viwandani au matumizi ya nyumbani).

Hivyo tunaona kuwa nchi ikiwa na watu wengi zaidi ndivyo demand na supply zitakavyokuwa kubwa zaidi (and vice versa is also correct, ceteris paribus). Hii ni kwa mujibu wa macroeconomics. Kwa hiyo piga, ua, galagaza, hatuwezi kukwepa suala zima ka kuzaliana kwa wingi (na kama itawezekana, tupige mapacha mapacha).
 
Umetoa hoja muhimu mno hapa,kukua kwa idadi kubwa ya watu hapa nchini kunatisha,muda sio mrefu Tanzania itakuwa nchi ya tatu Africa kwa kuwa na watu wengi (Nigeria ,Ethiopia )zikiwa juu yetu na uchumi wetu unaokuwa kwa 6% kwenye makaratasi hautaweza kabisa kuhimili idadi hii ya watu.
 
Je umefikiria pia ni kwa nini kuna ongezeko la kupigania ardhi ikiwemo wakulima na wachungaji. Hatukuwa na tatizo hili miaka ya mwanzo baada ya uhuru. Ukizungumzia nchi kama Marekani, China, India kumbuka unaongea na nchi ambazo kwa ukubwa ni kama bara zima. Pengine ungezilinganisha na bara letu la Afrika. Pengine ili ndiyo tungepigania zaidi - kuungana kama taifa moja au hata kufanya biashara kama soko moja.

Ni kwa sababu ya ukosefu wa sera sahihi za idadi ya watu ndiyo maana matamanio yetu kwa huduma bora za jamii hayafikiwi. Tunasajili watoto kuanza shule lakini hatuna miundombinu ya kutosha. Hospitali zetu zinazidiwa na wagonjwa.

Idadi ya watu siyo kipimo dahihi cha maendeleo ya kiuchumi (kama alivyosema Mkapa).
 
Umetoa hoja muhimu mno hapa,kukua kwa idadi kubwa ya watu hapa nchini kunatisha,muda sio mrefu Tanzania itakuwa nchi ya tatu Africa kwa kuwa na watu wengi (Nigeria ,Ethiopia )zikiwa juu yetu na uchumi wetu unaokuwa kwa 6% kwenye makaratasi hautaweza kabisa kuhimili idadi hii ya watu.
Kwa hakika. Kwetu siyo dalili njema. Tunatakiwa tuanze kulifikiria katika mipango yetu.
 
Back
Top Bottom