Utofauti wa mashabiki wa Simba na Yanga

Huu uzi ni wakipumvavu sana. Kwa hiyo hata hao yanga nao wakija kufanya vibaya utasema na kuanza kusifia mashabiki wa simba kuwa walipofungwa na yanga walitulia
 
Ndiomana hata yanga ilivyofungwa na vipers walitafuta sababu kujitetea kwamba wamecheza na timu kubwa, ila simba kuifunga st george sio sahihi walichagua timu ya chuo bila kujua kwamba upo uwezekano mkubwa sana wakakutana nayo ccl.
Lets wait and see the time will tell kila mtu ashinde mechi zake wale wanaopenda kusingizia uchawi tutawaona safari hii, mpira ni mbinu tu kama ukishazidiwa mbinu usitafute kujinadi tofaut na matokeo, mbona hata ulaya huko kina liver wameanza vibaya wamesuluhu na vitimu vilivyopanda daraja, barcelona kasuluhu chelsea anasuasua msikariri, tengenezen exposure kwenye mpira inawezekana ikawasaidia kufuta ujinga fulani kwenye vichwa.
 
Kuiita timu kubwa kama yanga kwamba ni timu ya wanafunzi ni dharau na kejeli kubwa sana kwenye mpira,hii inadhihirisha wazi kwamba hawana exposure kwenye mpira, wengi wao wamejua mpira kwakushabikia juzi akiwepo azam kwenye ligi, sasa unabishana na mtu wa 2000 utajifunza nin kutoka kwake.tafuten kujua mpira kwanza ndio mje hapa.
 
Nahisi mleta mada utakuwa na kichwa cha kuku yaani unasahau mapema Sana. Hivi unafikiri jina la Malalamiko fc lilitokana na nini?

Je , unakumbuka usemi wa Luc Eymael wa kubweka kama Manyani ulitokana na nini?

Ukijua chanzo cha hayo majina hautakuja hapa kuleta post za hivi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa hongereni Dar Young African kwa ushindi wa mabao 2 - 1 dhidi ya Simba.
Pia niwape pole Simba Sports club kwa kupoteza mchezo.

Huwa napenda sana kuvinjari mtandaoni hasa mitandao ya kijamii baada ya mechi inayohusisha hizi timu mbili kubwa,yaani Yanga na Simba.
Hii huwa ni zinapokutana zenyewe kwa zenyewe au zinapokutana na wapinzani au washindani wengine;sasa nilichogundua ni kwamba,mashabiki wa Yanga huwa wakipoteza mechi huwezi kuona wakianza kulalama sana kama wenzao wa upande wa pili.

Hii nadhani mashabiki wengi wa Yanga walishaelewa mpira una matokeo matatu na ndiyo maana ukikuta wamefungwa hutaona visingizio bali watakubali wamefungwa na mambo yataendelea kama kawaida.
Niwakumbushe tu,kama utakuwa hujasahau angalia ile mechi ya kirafiki iliyofanyika kwenye sherehe za kilele cha wiki ya mwananchi dhidi ya Vipers,Yanga walifungwa na wala sikuona humu JF mashabiki wakiandika nyuzi za kuiponda timu yao wala kuizungumzia vibaya,wao walikubali matokeo na kuamini ni sehemu ya mchezo na uenda wakitulia watafanya vizuri,ndicho walichoamini!,hakukuwa na shabiki au mashabiki walioidhihaki timu yao bali kazi hiyo ilifanywa na wachambuzi na mashabiki wa upande wa pili.

Hapa kwenye jukwaa la michezo na burudani,nyuzi nyingi ni zile za mashabiki wa upande wa pili na wachambuzi "wa mchongo" walioanzisha nyuzi maalumu kwa ajili ya kuisema Yanga na kuiponda,haikuishia hapo tu,bali kila aliyeanzisha uzi alikuwa mchambuzi na kuwakebehi wachezaji wa Yanga,wakati huo wenzao huwezi kuwaona wakiwakebehi wachezaji wao.
Mashabiki wa Yanga wanachoamini kupoteza mchezo ni sehemu ya mchezo wenyewe na wala si suala la lawama na ndiyo maana walivumilia kwa miaka 4 bila kikombe chochote na ukuona hata wakiandamana kufanya vurugu kwa viongozi wao,walichoamini ni katika mchezo huku wakijua siku yao itafika tu!,hii huwa ni tofauti kabisa na upande wa pili.

Sasa ukija kwa mashabiki wa Simba baada ya mchezo wa kirafiki kwenye kilele cha Simba day dhidi ya timu kutoka Ethiopia ya St.Geroge,mashabiki wengi walianzisha nyuzi katika mitandao ya kijamii na kuisifia timu yao kana kwamba ni mwari ambaye bado ana bikira mbichi na apaswi kuguswa hata na harufu ya mwanaume.
Sifa zilimiminwa kedekede na wala hakukuwa na mapungufu yoyote kwao,sifa tukufu zilimiminwa kwa mchezaji hodari na machachari Okrah na Okwa kwa pamoja,huku Mzungu Dejan akiambiwa ni bonge la straika na apewe muda atafanya mazuri ya kushangaza,wakati hayo yakiendelea waliendelea kuwazodoa wenzao upande wa pili wakisema Aziz Ki hamna chochote na Yanga watakuwa wamepigwa,haikuishia hapo tu,waliendelea kuwazodoa wenzao kuhusu usajili wa Gael Bigirmana wakidai hakucheza Uingereza na kama alicheza basi itakuwa uingereza ya mchongo!.

Wenzao walitulia na wakiamini katika mpira na matokeo yake,matokeo yale yaliwaumiza lakini hawakuwa na sababu yoyote ya kuwashusha kiwango wachezaji wao kwasababu walichoamini ni kwamba wachezaji wao ni wazuri na kufungwa ni sehemu ya mchezo,hakuna mahali popote ambapo ulikuta mashabiki wa Yanga walianzisha uzi na kuwaponda au kuwasema vibaya wachezaji wao,Hii ni hatua kubwa sana kwa mashabiki wa Yanga.
Ukiangalia hata wakati Jezi zinatoka japo wanzao walidai ni mbaya lakini mashabiki walitulia na kufunga mabakuli yao mwanaharamu apite!.

Sasa baada ya mchezo wa jana ndipo nikagundua mashabiki wa Yanga wamewaacha wenzao Simba kwa mbali sana katika uvumilivu,baada ya kichapo cha hapo jana,nimepitia mitandao mingi ya kijamii na kugundua Simba bado wanasafari ndefu sana kuhusu mashabiki wao,nyuzi nyingi zimekuwa za kuwaponda wachezaji wao na kuwakatisha tamaa wao na benchi la ufundi kwa ujumla.
Timu ileile ambayo ilicheza wiki moja kabla na kupata ushindi pale lupaso huku wachezaji wakipewa sifa kedekede,leo inekuwa timu mbovu ambayo mashabiki hawataki hata kuisikia!,wiki moja kabla Simba ilikuwa bora kila eneo kwa mujibu wa mashabiki na wachambuzi,lakini baada ya kipigo timu hiyo hiyo imekuwa mbovu kila eneo na mashabiki wakiiponda na kuikejeli.

Hapa ndipo kumefanya kuandika huu uzi na kushangaa namna mashabiki wa Simba wasivyokuwa wavumilivu.

Hivi mashabiki wa Simba huwa mnapatwa na nini?,Je Simba inapaswa kushinda tu na hampaswi kufungwa?,ina maana mkifungwa mechi moja tu ndiyo timu yenu inakuwa mbovu?,mbona miaka takribani 4 wakati mnashinda na kuchukua vikombe wenzenu walikuwa kimya na wakavumilia?,Je mtaweza kuvumilia kweli wenzenu wakichukua miaka 4 mfululizo kama nyinyi?,Tangu lini Mo,Try again,Barbara wamekuwa wabaya?,mbona mkishinda hizi kauli huwa hazisikiki?

Kwanini nyie mnataka(ga) tu kushinda na mkifungwa mnaanza masimango kwa timu yenu na viongozi wenu?

UTOFAUTI

1.Mashabiki wa Yanga ni wavumilivu sana na wanaamini katika matokeo yeyote.

2 Mashabiki wa Simba si wavumilivu na wanaamini katika matokeo positive pekee,matokeo negative ukicheza karibu yao wanaweza kukuua.

Hongereni wananchi!
Yanga wenye akili wawili tu sasa misukule toka lini ikalalamika,simba wanajitambua,hatukatai kufungwa bali mpira uchezwe,watu wanategeana tusiseme,sisi sio misukule
 
Ila tuseme tu ukweli; mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kuchonga na kutukana.

Halafu ni wajuaji kupitiliza. Na hupenda siku zote kuona simba inashinda tu! Itokee tu ikafungwa, au kutoa sare; basi ramli chonganishi zinaanza mara moja.
Kufungwa hatkatai sie tunalia na uchezaji mbovu wa wachezaji.mtu unalipwa milioni tano kwa mwezi unakosa goli unatafuna jojo unatabasamu
 
Kwanza kabisa hongereni Dar Young African kwa ushindi wa mabao 2 - 1 dhidi ya Simba.
Pia niwape pole Simba Sports club kwa kupoteza mchezo.

Huwa napenda sana kuvinjari mtandaoni hasa mitandao ya kijamii baada ya mechi inayohusisha hizi timu mbili kubwa,yaani Yanga na Simba.
Hii huwa ni zinapokutana zenyewe kwa zenyewe au zinapokutana na wapinzani au washindani wengine;sasa nilichogundua ni kwamba,mashabiki wa Yanga huwa wakipoteza mechi huwezi kuona wakianza kulalama sana kama wenzao wa upande wa pili.

Hii nadhani mashabiki wengi wa Yanga walishaelewa mpira una matokeo matatu na ndiyo maana ukikuta wamefungwa hutaona visingizio bali watakubali wamefungwa na mambo yataendelea kama kawaida.
Niwakumbushe tu,kama utakuwa hujasahau angalia ile mechi ya kirafiki iliyofanyika kwenye sherehe za kilele cha wiki ya mwananchi dhidi ya Vipers,Yanga walifungwa na wala sikuona humu JF mashabiki wakiandika nyuzi za kuiponda timu yao wala kuizungumzia vibaya,wao walikubali matokeo na kuamini ni sehemu ya mchezo na uenda wakitulia watafanya vizuri,ndicho walichoamini!,hakukuwa na shabiki au mashabiki walioidhihaki timu yao bali kazi hiyo ilifanywa na wachambuzi na mashabiki wa upande wa pili.

Hapa kwenye jukwaa la michezo na burudani,nyuzi nyingi ni zile za mashabiki wa upande wa pili na wachambuzi "wa mchongo" walioanzisha nyuzi maalumu kwa ajili ya kuisema Yanga na kuiponda,haikuishia hapo tu,bali kila aliyeanzisha uzi alikuwa mchambuzi na kuwakebehi wachezaji wa Yanga,wakati huo wenzao huwezi kuwaona wakiwakebehi wachezaji wao.
Mashabiki wa Yanga wanachoamini kupoteza mchezo ni sehemu ya mchezo wenyewe na wala si suala la lawama na ndiyo maana walivumilia kwa miaka 4 bila kikombe chochote na ukuona hata wakiandamana kufanya vurugu kwa viongozi wao,walichoamini ni katika mchezo huku wakijua siku yao itafika tu!,hii huwa ni tofauti kabisa na upande wa pili.

Sasa ukija kwa mashabiki wa Simba baada ya mchezo wa kirafiki kwenye kilele cha Simba day dhidi ya timu kutoka Ethiopia ya St.Geroge,mashabiki wengi walianzisha nyuzi katika mitandao ya kijamii na kuisifia timu yao kana kwamba ni mwari ambaye bado ana bikira mbichi na apaswi kuguswa hata na harufu ya mwanaume.
Sifa zilimiminwa kedekede na wala hakukuwa na mapungufu yoyote kwao,sifa tukufu zilimiminwa kwa mchezaji hodari na machachari Okrah na Okwa kwa pamoja,huku Mzungu Dejan akiambiwa ni bonge la straika na apewe muda atafanya mazuri ya kushangaza,wakati hayo yakiendelea waliendelea kuwazodoa wenzao upande wa pili wakisema Aziz Ki hamna chochote na Yanga watakuwa wamepigwa,haikuishia hapo tu,waliendelea kuwazodoa wenzao kuhusu usajili wa Gael Bigirmana wakidai hakucheza Uingereza na kama alicheza basi itakuwa uingereza ya mchongo!.

Wenzao walitulia na wakiamini katika mpira na matokeo yake,matokeo yale yaliwaumiza lakini hawakuwa na sababu yoyote ya kuwashusha kiwango wachezaji wao kwasababu walichoamini ni kwamba wachezaji wao ni wazuri na kufungwa ni sehemu ya mchezo,hakuna mahali popote ambapo ulikuta mashabiki wa Yanga walianzisha uzi na kuwaponda au kuwasema vibaya wachezaji wao,Hii ni hatua kubwa sana kwa mashabiki wa Yanga.
Ukiangalia hata wakati Jezi zinatoka japo wanzao walidai ni mbaya lakini mashabiki walitulia na kufunga mabakuli yao mwanaharamu apite!.

Sasa baada ya mchezo wa jana ndipo nikagundua mashabiki wa Yanga wamewaacha wenzao Simba kwa mbali sana katika uvumilivu,baada ya kichapo cha hapo jana,nimepitia mitandao mingi ya kijamii na kugundua Simba bado wanasafari ndefu sana kuhusu mashabiki wao,nyuzi nyingi zimekuwa za kuwaponda wachezaji wao na kuwakatisha tamaa wao na benchi la ufundi kwa ujumla.
Timu ileile ambayo ilicheza wiki moja kabla na kupata ushindi pale lupaso huku wachezaji wakipewa sifa kedekede,leo inekuwa timu mbovu ambayo mashabiki hawataki hata kuisikia!,wiki moja kabla Simba ilikuwa bora kila eneo kwa mujibu wa mashabiki na wachambuzi,lakini baada ya kipigo timu hiyo hiyo imekuwa mbovu kila eneo na mashabiki wakiiponda na kuikejeli.

Hapa ndipo kumefanya kuandika huu uzi na kushangaa namna mashabiki wa Simba wasivyokuwa wavumilivu.

Hivi mashabiki wa Simba huwa mnapatwa na nini?,Je Simba inapaswa kushinda tu na hampaswi kufungwa?,ina maana mkifungwa mechi moja tu ndiyo timu yenu inakuwa mbovu?,mbona miaka takribani 4 wakati mnashinda na kuchukua vikombe wenzenu walikuwa kimya na wakavumilia?,Je mtaweza kuvumilia kweli wenzenu wakichukua miaka 4 mfululizo kama nyinyi?,Tangu lini Mo,Try again,Barbara wamekuwa wabaya?,mbona mkishinda hizi kauli huwa hazisikiki?

Kwanini nyie mnataka(ga) tu kushinda na mkifungwa mnaanza masimango kwa timu yenu na viongozi wenu?

UTOFAUTI

1.Mashabiki wa Yanga ni wavumilivu sana na wanaamini katika matokeo yeyote.

2 Mashabiki wa Simba si wavumilivu na wanaamini katika matokeo positive pekee,matokeo negative ukicheza karibu yao wanaweza kukuua.

Hongereni wananchi!
Mmmhh kumbe kusahau no ugonjwa hatari Sana kwa afya Bora ya aKiLi,Leo Hawa mashabiki wa uToPoLo ambao hawaishiwi viroja na vituko wamestaarabika,nasema hapana,nimashabiki wa timu gani pindi timu Yao ikipata suruhu kwenye mechi,wanakawaida ya kupita press ,na kusema wanaandamana kwenda kupelekA malalamiko Yao kwenye jumba jeupe la Magogoni,? Kuanzia wazee wa timu,akinamama na Jimmy kindoki kauli Yao huwa tumeonewa na lazima,twende kwa mama kupeleka malalamiko Yao.
 
Mashabiki wa Simba wakifungwa wanaangalia madhaifu ya timu yao na viongozi wao na kutoa lawama Kwa wahusika ila yanga wakifungwa na Simba watalaumu TFF hasa karia, watalaumu refa ameongwa ama watasingizia wachezaji wao walihongwa Huwa haeakubali kuwa walizidiwa rejea kipigo Cha goli Tano au nne moja
 
Kwanza kabisa hongereni Dar Young African kwa ushindi wa mabao 2 - 1 dhidi ya Simba.
Pia niwape pole Simba Sports club kwa kupoteza mchezo.

Huwa napenda sana kuvinjari mtandaoni hasa mitandao ya kijamii baada ya mechi inayohusisha hizi timu mbili kubwa,yaani Yanga na Simba.
Hii huwa ni zinapokutana zenyewe kwa zenyewe au zinapokutana na wapinzani au washindani wengine;sasa nilichogundua ni kwamba,mashabiki wa Yanga huwa wakipoteza mechi huwezi kuona wakianza kulalama sana kama wenzao wa upande wa pili.

Hii nadhani mashabiki wengi wa Yanga walishaelewa mpira una matokeo matatu na ndiyo maana ukikuta wamefungwa hutaona visingizio bali watakubali wamefungwa na mambo yataendelea kama kawaida.
Niwakumbushe tu,kama utakuwa hujasahau angalia ile mechi ya kirafiki iliyofanyika kwenye sherehe za kilele cha wiki ya mwananchi dhidi ya Vipers,Yanga walifungwa na wala sikuona humu JF mashabiki wakiandika nyuzi za kuiponda timu yao wala kuizungumzia vibaya,wao walikubali matokeo na kuamini ni sehemu ya mchezo na uenda wakitulia watafanya vizuri,ndicho walichoamini!,hakukuwa na shabiki au mashabiki walioidhihaki timu yao bali kazi hiyo ilifanywa na wachambuzi na mashabiki wa upande wa pili.

Hapa kwenye jukwaa la michezo na burudani,nyuzi nyingi ni zile za mashabiki wa upande wa pili na wachambuzi "wa mchongo" walioanzisha nyuzi maalumu kwa ajili ya kuisema Yanga na kuiponda,haikuishia hapo tu,bali kila aliyeanzisha uzi alikuwa mchambuzi na kuwakebehi wachezaji wa Yanga,wakati huo wenzao huwezi kuwaona wakiwakebehi wachezaji wao.
Mashabiki wa Yanga wanachoamini kupoteza mchezo ni sehemu ya mchezo wenyewe na wala si suala la lawama na ndiyo maana walivumilia kwa miaka 4 bila kikombe chochote na ukuona hata wakiandamana kufanya vurugu kwa viongozi wao,walichoamini ni katika mchezo huku wakijua siku yao itafika tu!,hii huwa ni tofauti kabisa na upande wa pili.

Sasa ukija kwa mashabiki wa Simba baada ya mchezo wa kirafiki kwenye kilele cha Simba day dhidi ya timu kutoka Ethiopia ya St.Geroge,mashabiki wengi walianzisha nyuzi katika mitandao ya kijamii na kuisifia timu yao kana kwamba ni mwari ambaye bado ana bikira mbichi na apaswi kuguswa hata na harufu ya mwanaume.
Sifa zilimiminwa kedekede na wala hakukuwa na mapungufu yoyote kwao,sifa tukufu zilimiminwa kwa mchezaji hodari na machachari Okrah na Okwa kwa pamoja,huku Mzungu Dejan akiambiwa ni bonge la straika na apewe muda atafanya mazuri ya kushangaza,wakati hayo yakiendelea waliendelea kuwazodoa wenzao upande wa pili wakisema Aziz Ki hamna chochote na Yanga watakuwa wamepigwa,haikuishia hapo tu,waliendelea kuwazodoa wenzao kuhusu usajili wa Gael Bigirmana wakidai hakucheza Uingereza na kama alicheza basi itakuwa uingereza ya mchongo!.

Wenzao walitulia na wakiamini katika mpira na matokeo yake,matokeo yale yaliwaumiza lakini hawakuwa na sababu yoyote ya kuwashusha kiwango wachezaji wao kwasababu walichoamini ni kwamba wachezaji wao ni wazuri na kufungwa ni sehemu ya mchezo,hakuna mahali popote ambapo ulikuta mashabiki wa Yanga walianzisha uzi na kuwaponda au kuwasema vibaya wachezaji wao,Hii ni hatua kubwa sana kwa mashabiki wa Yanga.
Ukiangalia hata wakati Jezi zinatoka japo wanzao walidai ni mbaya lakini mashabiki walitulia na kufunga mabakuli yao mwanaharamu apite!.

Sasa baada ya mchezo wa jana ndipo nikagundua mashabiki wa Yanga wamewaacha wenzao Simba kwa mbali sana katika uvumilivu,baada ya kichapo cha hapo jana,nimepitia mitandao mingi ya kijamii na kugundua Simba bado wanasafari ndefu sana kuhusu mashabiki wao,nyuzi nyingi zimekuwa za kuwaponda wachezaji wao na kuwakatisha tamaa wao na benchi la ufundi kwa ujumla.
Timu ileile ambayo ilicheza wiki moja kabla na kupata ushindi pale lupaso huku wachezaji wakipewa sifa kedekede,leo inekuwa timu mbovu ambayo mashabiki hawataki hata kuisikia!,wiki moja kabla Simba ilikuwa bora kila eneo kwa mujibu wa mashabiki na wachambuzi,lakini baada ya kipigo timu hiyo hiyo imekuwa mbovu kila eneo na mashabiki wakiiponda na kuikejeli.

Hapa ndipo kumefanya kuandika huu uzi na kushangaa namna mashabiki wa Simba wasivyokuwa wavumilivu.

Hivi mashabiki wa Simba huwa mnapatwa na nini?,Je Simba inapaswa kushinda tu na hampaswi kufungwa?,ina maana mkifungwa mechi moja tu ndiyo timu yenu inakuwa mbovu?,mbona miaka takribani 4 wakati mnashinda na kuchukua vikombe wenzenu walikuwa kimya na wakavumilia?,Je mtaweza kuvumilia kweli wenzenu wakichukua miaka 4 mfululizo kama nyinyi?,Tangu lini Mo,Try again,Barbara wamekuwa wabaya?,mbona mkishinda hizi kauli huwa hazisikiki?

Kwanini nyie mnataka(ga) tu kushinda na mkifungwa mnaanza masimango kwa timu yenu na viongozi wenu?

UTOFAUTI

1.Mashabiki wa Yanga ni wavumilivu sana na wanaamini katika matokeo yeyote.

2 Mashabiki wa Simba si wavumilivu na wanaamini katika matokeo positive pekee,matokeo negative ukicheza karibu yao wanaweza kukuua.

Hongereni wananchi!
simba timamu wengi
Yanga timamu wawili tu.
 
hujui mpira na hujui hulka na Tabia halisi za mashabiki halisi wa mpira.

Shabiki halisi anaamini ktk ushindi tu na si vinginevyo. Anachohitaji shabiki Ni furaha, furaha inayotokana na ushindi.

Hiyo ya wananchi kukaa kimya Ni umbumbumbu/uzuzu.

Shabiki wa kweli Hana subira.

Msimu huu kimataifa Yanga itacheza mechi nne tu kimataifa na kuaga.

Ukitaka kujua maana ya ushabiki Angalia Manchester United, Liverpool utajua.

Hakuna shabiki wa kweli anaenda uwanjani kufungwa au kudroo.

Mashabiki wa Yanga Ni mashabiki wa timu.Mashabiki wa Yanga si Watu wa kuhoji. Simba Ni mashabiki wa timu na mpira pia. Uongozi na timu wakifanya vyema wanapongezwa wakiboronga Cha moto wanakiona, hiyo ndiyo Simba.
 
Back
Top Bottom