Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

Leo asubuhi kuna gazeti limeandika kwamba vijana wa CCM walipata mafunzo ya "kigaid" Dafur na Somalia, katika ukuhitimisha kampeni za chaguzi wa madiwani huko Arusha kulitokea mlipuko wa bomu ambao Chadema wanadai ni Polisi wanahusika na mlipuko huo, na katika harakati za kutaka kumkamata mlipuaji inasemekana Polisi walifanya juhudi kuwazuia Chadema kwa kuwapiga risasi na kuwajeruhi wengi.

Katika picha hii inaona askari polisi ambao ni halisi na wengine wakiwa na sare za Chama tawala hapa unaona Polisi wanamajukumu yao huku hao waliovaa kiraia nao wakiwa na majukumu yao wote kwa ajili ya kukidhibiti chama cha Chadema.

Nashindwa kutofautisha vitendo vya Mungiki ambavyo baadhi ya viongozi wa chama tawala Kenya walikitumia kikundi cha Mungiki kwa maslahi yao kisiasa. Hawa Mungiki wa CCM hawana tofauti na Mungiki wa Kenya kwani wote ni kwa matumizi ya watawala.


View attachment 101789
 
yaani ninavyokupenda mwigulu ni hapo tuu..ww ni mkweli sana..ningekuwa na dada ningekupaa..asante kamadaaaa
-------,yaani dada yako ndio wa kumpa mwigulu,kwanini usiende wewe ukampe?
Hivi uliwa ccm na akili unaziweka mfukoni????
 
Hawa jamaa bana, sifuri kabisa.
Yani wamepigwa tamko moja tu, wamekurupuka Rais, Katibu, makamu katibu, Jeshi la polisi, wote hawa kwasababu ya tamko moja tu.

Your strategies are failing you, big time.
 
JK anafahamu vizuri na ktk kubariki Green Guard ndio akampendekeza Kamanda wao Mkuu; Mwigulu Nchemba ambaye ndie msimamizi wa kambi za Green guard na kiongozi wa mauaji wanayoyafanya kwenye chaguzi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM

Kwa mtindo huu wa vyama vya siasa kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vijana wao, 2015 tutazamie mauaji kama yaliyotokea Kenya baada ya uchaguzi wa 2007!
 
Pinda anaruhusu polisi waendelee kuwapiga wananchi.Jk anasema atawadhibiti polisi wasiwaonee wananchi so which is which?
 
Hakuna mtu miongoni mwa wote waliotoa kauli za kupinga mpango wa CHADEMA wa kuimarisha kikosi chake cha ulinzi cha Chama mwenye haki ya kimaadili ya kufanya hivyo kwani wote ndio viongozi au wafadhili wa kikundi cha Mateja,Wavuta Bangi, Wauaji na Majambazi cha Green Gards. Polisi ndio kabisa wameshadeclare interest kuwa wao ni Jeshi la CCM kwasababu kila kosa linalofanywa na CCM sio Kosa ila wanawasingizia CHADEMA. Rage mpaka leo hajafunguliwa Mashtaka pamoja na maovu yake yote kwenye Chaguzi. Iko haja Red Brigade kudeal mpaka na Viongozi wanaopanga njama dhidi ya CHADEMA na kuwafanyia kitu ili wajifikirie mara mbili mbili kwa kila watakalotaka kufanya. CCM ndio wanaoshikilia amani ya nchi hii. Zama hizi sio za akina Lyatonga za kuwadanganya watu na vita vya Rwanda na Burundi. Mbowe anasema labda red brigade imekuwa dhaifu sana kiasi cha kuwafanya CCM wakajiona wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kufanya.. Haya sasa kikosi kinaimarishwa na vijana ndio hao wengine wanamaliza JKT na wanaCHADEMA karibia wote. Yaani KAMA MBWAI MBWAI DU!!!
 
  • Ujasiriamali
  • kufyatua matofali
  • Ulinzi - Guard
  • Uongozi
  • Sera za Chama
  • AK 47

attachment.php
 
Mm bado niponipo hadi 2015. Sema chadema wanajitahidi kuonesha harakati nzuri, mashaka yangu yapo kwa huyo mzee wao wilbroad Slaa na huyo Freeman. Hao ni watu hatari sana kuwapa madaraka kwenye Nchi hii. Time will tell.
 
Hivi Chadema mnawasomesha watoto wa huyo mwanajeshi wenu feki mlimvisha sare za jeshi. Au mmemtelekeza kama Ludo kijana wa Lwakatare.

Nataka kujua utaratibu wa kujiunga na jeshi la Chadema ninatakiwa niwe na sifa gani kambi zitakuwa ngapi na bajeti ya makambi ya kijeshi ni kiasi gani na fungu la pesa linatoka wapi.

Mbunge Joshua Nassari alipigwa na watu gani?
 
600515_143779769157435_904795316_n.jpg

Kumbe hapa ndio wanafyatua tofali na kufundishwa na NMB...Ebu Mwigulu uwe na akili timamu muda mwingine, hivi unaweza ukaposti ujinga kama huu, kwenye jukwaa lililotawaliwa na wasomi kwa asilimia 95?
 
yaani ninavyokupenda mwigulu ni hapo tuu..ww ni mkweli sana..ningekuwa na dada ningekupaa..asante kamadaaaa

Are you serious or joking at Mwigulu?

Mauaji ambayo wafuasi wa CDM wameuawa ktk chaguzi abazo Mwigulu alikuwa Kinara ilikuwa suicide.
 
Back
Top Bottom