Utofauti wa majina ya vyeti vya kuzaliwa,Taaluma na Nida unaweza kukupelekea kukosa ajira na Hati zako za msingi

Ni hatua zipi unazifuata ili kubadili majina ya cheti cha kuzaliwa mkuu?
Unaenda RITA na cheti chako cha kuzaliwa unachohitaji kurekebisha ( nikimaanisha kubadili ni neno pana kiasi) jina na kithibitisho cha jina unalotaka kurekebisha

( mfano nahitaji kurekebisha majina kwenye cheti changu cha kuzaliwa ili kiendane na vyeti vyangu vya taaluma labda jina ni MWENGE FISI BOKO kwenye cheti cha elimu ilhali kwenye cha kuzaliwa ni MWENGE PAKA PANYA

hapo utaambatanisha na nakala ya cheti chako cha elimu) pia ukitaka kurekebisha ya mzazi pia unaleta kithibitisho chake either cheti chake cha elimu, Nida, cheti cha Ndoa n.k

gharama ni elfu 3 tu, (sijui kwa sasa)
 
Shukrana sana mkuu, nimekupata vyema kabisa.
Nitalifanyia kazi hili.
 
Back
Top Bottom