Babu Tale ana fit wapi hapo?Tutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)....
Huu ni uchokozi dhahiri!ππππBabu Tale ana fit wapi hapo?
π msameheni asije akakaukiwa na kale kasauti chakeBabu Tale ana fit wapi hapo?
Upo sahihi mkuu.Tutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)
Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahili (Masters)...
upande wa GPATutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)
Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahili (Masters)
Lecturer - anamiliki Shahada ya Uzamivu (PhD)
Akiongeza machapicho anakuwa Senior Lecturer.
Nipo tayari kurekebishwa!!
Mwenye huu Uzi nakushauri omba moderators warekebishe...hakuna Assistant Lecture huyu HAYUPO aliyepo ni Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer ...... Lecture? aiseee aibu aibu aibuuHabari zenu wana JF
Naomba kuuliza utofauti wa hawa watu watatu,,,na ni kwa namna gan mtu anaeza timiza ndoto yake ya kuwa lecture???
Achana nae mshamba huyo... namshangaa sana mtu anayejitia mjuaji dunia hii ya leo iliyojaa mafunzo na karma kila kukicha...hujaelewa???
VuMwenye huu Uzi nakushauri omba moderators warekebishe...hakuna Assistant Lecture huyu HAYUPO aliyepo ni Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer ...... Lecture? aiseee aibu aibu aibuu
Pipi za mchongo π π πBabu Tale ana fit wapi hapo?
3.8 and Aboveupande wa GPA
Hamtaki kurekebishwa! huwezi ita mwalimu wako lecture haipo! Huo ndo ukweli. Kubali kurekebishwa usijezingua mbeleni nyau weweSasa ndo umeongea nini hapo?! Wale wa kujitia wajuaji kumbe bado mpo tuu dunia hii?!
We unaejua zaidi andika uzi wako kwenye jukwaa la great-thinkers kama wewe
Huo upumbavu wako peleka kwa wapumbavu wenzio! kubali makosa jirekebisheni.Pumbavu sana. Binadamu ameumbiwa kukosea sasa cha ajabu nini?Unapo gundua mtu kakosea njia huwa unafanya nini?
Vu
Suala siyo tu kuelewa na kurekebisha ulipokosea! Tatizo letu hatupendi kuambiwa ukweli!hujaelewa???
Tambua mimi sio kijana mjingamjinga mwenzio... πHamtaki kurekebishwa! huwezi ita mwalimu wako lecture haipo! Huo ndo ukweli. Kubali kurekebishwa usijezingua mbeleni nyau wewe
Very trueTutorial Assistant- Anamiliki shahada ya kwanza (Bachelor Degree)
Assistant Lecturer- Anamiliki shahada ya umahiri (Masters)
Lecturer - anamiliki Shahada ya Uzamivu (PhD)
Akiongeza machapicho anakuwa Senior Lecturer.
Nipo tayari kurekebishwa!!