maliselo22
Member
- May 18, 2017
- 72
- 52
Kujiunga na nini?
Nakushauri jiunge na cryptocurrency nyingine ambazo zinakaribia kuingia public maana utanunua kwa bei nafuu na ukiingia public unatusua fedha nzuri.Bitcoin ni but kwa mwanzaji ni so expensive nk ! Nakushauri nunua "one coin" / google hilo neno utapata maelezo na video poa kabisa,almost five months to come itaingia kwenye public use/ ushauri wangu tu mkuu
Precisely, Bitcoin sio scam bali scam nyingi zinaitumia kama medium of payments ndio maana inaonekana kama scam. Its just a digital currency.Mbona inasemekana Bitcoin ni scam au wasioijua ndo wanasema hivyo?
Umeielezea vizuri sana. Big up.1.Mwendo wa soko 😉
Soko la cryptocurrency kwa kawaida lina kasi kubwa au mzunguko mkubwa kulinganisha na forex
kwa mfano bitcoin inaweza kupanda bei kwa lisa na kushuka bei kwa lisa,hivyo basi kuna faida yake na hasara yake.lakini kwa upande wa forex soko mwendo wa soko upo taratibu ,lakini inategemeana na pair ulizo chagua
2.Faida ya kustaki
Cryptocurrency ina faida kubwa sana ya kustaki ukilinganisha na forex,unaweza kustaki eos au ethereum kwa muda wa miaka miwili au mitatu ukajizalishia pesa nyingi sana bila ata ya kufanya kazi lakini kwenye forex kitu hicho hakuna.Lakini kwenye cryptocurrency pesa inaweza kudidimia lakini pia inajirudi .kitu cha muhimu ni uvumilivu katika biashara hii usiwe na haraka ya kupata pesa kwa haraka katika biashara cryptocurrency
3.Riski
Kwa forex riski ni asilimia 100% lakini kwa cryptocurrency riski inaweza kuzuilika ukiwa na elimu ya coin husika na usalama wake.na miundo mbinu yake.
4.Utabiri wa masoko
Kwa forex ,huwa unafanya technical analysis kufanya utabiri pia kwa crypto ni hivyo hivyo lakini kuna channel muhimu kwa taarifa za masoko ukilinganisha na forex hivyo crypto zinategemea news sana kuliko tabia ya soko.kwa hio ni rahasi kuchambua soko ukiwa unajihusisha na cryptocurrency.
5.Miundo mbinu ya kibiashara
Katika forex miundo mbinu huwa ni changamoto kwa sababu inategemea na blocker lakini crypto miundo mbinu yake ni rafiki kwani inakuwezesha kumiliki kiasi chochote na mahali popote kulinganisha na forex .blocker wanasheria zao za kigharama na kimahali pia.
kiongozi kwanza naomba nikurekebishe kuwa huwezi kujiunga na bitcoin kusema hivyo ni sawa na kusema nikitaka kujiunga na shilingi ya tanzanani naanzia wapi.
Apana sio scum,kwa sasa ina mzunguko wa zaid ya dollar billion 226.(market capitalization)Mbona inasemekana Bitcoin ni scam au wasioijua ndo wanasema hivyo?
Na wewe unafanya hii biashara?Apana sio scum,kwa sasa ina mzunguko wa zaid ya dollar billion 226.(market capitalization)View attachment 852419View attachment 852420
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi sorry, umekosea kidogo. Hii market capitalization sio ya bitcoin peke yake bali soko lote la cryptocurrency kwa hiyo ndani yake imo miamala ya masoko ya BTC, USDT, na USDApana sio scum,kwa sasa ina mzunguko wa zaid ya dollar billion 226.(market capitalization)View attachment 852419View attachment 852420
Sent using Jamii Forums mobile app
sababu zikiwa ni zipi mpaka asilinganishe?Nimesoma Forex na Cryptocurency tena kwa malipo....
Siku nyingine usirudie hata kidogo kuilinganisha Forex na cryptocurency. Naomba niishie hapo tu. Ila nakuomba usifananishe Forex na cryptocurency
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu taja daily return ya cryptocurrency ,tuanzie hapo kwanza.taja cryptocurrency ilianza lini, tuendelee....Nimesoma Forex na Cryptocurency tena kwa malipo....
Siku nyingine usirudie hata kidogo kuilinganisha Forex na cryptocurency. Naomba niishie hapo tu. Ila nakuomba usifananishe Forex na cryptocurency
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata shule watu walisoma kwa malipo makubwa na wakazungusha so kusema malipo hakunitishi .Nimesoma Forex na Cryptocurency tena kwa malipo....
Siku nyingine usirudie hata kidogo kuilinganisha Forex na cryptocurency. Naomba niishie hapo tu. Ila nakuomba usifananishe Forex na cryptocurency
Sent using Jamii Forums mobile app