stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 846
- 1,798
Naku~ZoomDressing room, unamaanisha a walk-in closet au?
👀 👀 👀Naku~Zoom
Hivi viwango na vipimo source yake ni wapi mkuu?UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15.
MASTER BEDROOM
Inaukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda chenye ukubwa Wa futi 6 kikiwa na droo zake Mbili za pembeni pamoja na side bedsofa.
✴️Kuweka screen chumbani
✴️Kuweka Kochi la watu wawili na Meza yake.
✴️Kuweka Kabati la nguo na mambo mengine.
✴️Kuweka Meza na kiti Kwa ajili ya mambo ya kiofisi au kikazi ukiwa nyumbani
Pia inakuwa choo na shower, jacuzzi na system ya Choo pamoja na dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 20.
Kwa lugha nyepesi
Master bedroom ni chumba cha mwenye nyumba
KARIBU WHATSAPP INBOX KWA USHAURI, RAMANI, UJENZI NA TATHIMINI YA VIFAA VYA UJENZI.
Nipigie 0743257669
WhatsApp inbox:
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me
TUPO UKONGA Dsm- TANZANIA.
Karibu
Lakini hizo meter 15 na 20 zirudie vyema unachanganya feet or meter kiwanya kina 20m leo utamiambia hvo vyote binabeba eneo la kiwanja msikopi vitu ambavyo mtu atawajua nyie sio weledi ila mmeiba tu maandishi ya watuDressing room, unamaanisha a walk-in closet au?
Sio meter bali ni square meterLakini hizo meter 15 na 20 zirudie vyema unachanganya feet or meter kiwanya kina 20m leo utamiambia hvo vyote binabeba eneo la kiwanja msikopi vitu ambavyo mtu atawajua nyie sio weledi ila mmeiba tu maandishi ya watu
Rudia kusomaLakini hizo meter 15 na 20 zirudie vyema unachanganya feet or meter kiwanya kina 20m leo utamiambia hvo vyote binabeba eneo la kiwanja msikopi vitu ambavyo mtu atawajua nyie sio weledi ila mmeiba tu maandishi ya watu
Master Bedroom haina ukubwa maalumUTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15.
MASTER BEDROOM
Inaukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda chenye ukubwa Wa futi 6 kikiwa na droo zake Mbili za pembeni pamoja na side bedsofa.
✴️Kuweka screen chumbani
✴️Kuweka Kochi la watu wawili na Meza yake.
✴️Kuweka Kabati la nguo na mambo mengine.
✴️Kuweka Meza na kiti Kwa ajili ya mambo ya kiofisi au kikazi ukiwa nyumbani
Pia inakuwa choo na shower, jacuzzi na system ya Choo pamoja na dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 20.
Kwa lugha nyepesi
Master bedroom ni chumba cha mwenye nyumba
KARIBU WHATSAPP INBOX KWA USHAURI, RAMANI, UJENZI NA TATHIMINI YA VIFAA VYA UJENZI.
Nipigie 0743257669
WhatsApp inbox:
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me
TUPO UKONGA Dsm- TANZANIA.
Karibu
Sema asante kwa kudanganywa
Karibu Dodoma mkuu,ndio kumenoga! Utakuja kunishukuru.UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15.
MASTER BEDROOM
Inaukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda chenye ukubwa Wa futi 6 kikiwa na droo zake Mbili za pembeni pamoja na side bedsofa.
✴️Kuweka screen chumbani
✴️Kuweka Kochi la watu wawili na Meza yake.
✴️Kuweka Kabati la nguo na mambo mengine.
✴️Kuweka Meza na kiti Kwa ajili ya mambo ya kiofisi au kikazi ukiwa nyumbani
Pia inakuwa choo na shower, jacuzzi na system ya Choo pamoja na dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 20.
Kwa lugha nyepesi
Master bedroom ni chumba cha mwenye nyumba
KARIBU WHATSAPP INBOX KWA USHAURI, RAMANI, UJENZI NA TATHIMINI YA VIFAA VYA UJENZI.
Nipigie 0743257669
WhatsApp inbox:
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me
TUPO UKONGA Dsm- TANZANIA.
Karibu
Haya maelezo nitayapinga mahakamaniKwa maelezo haya Wabongo wengi wanaodai nyumba zao zina Master bedroom kumbe wana Self bedroom.
Hasira za niniLakini hizo meter 15 na 20 zirudie vyema unachanganya feet or meter kiwanya kina 20m leo utamiambia hvo vyote binabeba eneo la kiwanja msikopi vitu ambavyo mtu atawajua nyie sio weledi ila mmeiba tu maandishi ya watu
😁🤣🤣we jamaa nimecheka sanaKwa maelezo haya Wabongo wengi wanaodai nyumba zao zina Master bedroom kumbe wana Self bedroom.