Utoaji wa Mimba na gharama ya mapenzi

mwisho wa ubaya ni aibu, yeye aliua na baadae hayo yalimemkuta.
Ni vema kua wazi kwa mumewe.
 
mkuu MM hiii ni true story au ni ubunifu wako wa utunzi wa kila siku???

Huu hata kama utakuwa ni ubunifu wa MM, lakini unaelezea ukweli wa jinsi mabinti zetu wanavyodanganywa kufanya ngono nzembe, halafu kupewa mimba, halafu kushauriwa kutoa mimba hata kwa watu wasio na ujuzi na vifaa vya kutolea mimba, halafu wanaharibu mfumo wa viungo vya uzazi . Wanapotaka kupata watoto (kwenye ndoa)tayari wanakuwa wameharibu mfumo wa uzazi. Kinachofuata ni huzuri na kusaga meno na kuvunjika kwa ndoa na mateso na uchungu wa moyoni kwa muda wote wa uhai wao
 
nakumbuka maneno haya. nakujua tokea tumboni mwa mama yako.fikiria kabla ya kufanya fikiria maisha yako ya baadae
 
Mimi naamini katika mapenzi ya kweli
Japo sio siri ndoa maana yake ni pro creation lakini wapowatu wana vilema na wanashindwa kuwa na watoto Je hii inawaondolea haki ya kuwa kwenye ndoa?
Suluhisho sio kuacha mke, Yule binti mimi simlaumu. Sisi ndio huwa tuwadanganya hao watoto. Kama kujuta atakua amejuta sana. Amwambie mumewe ukweli kama kweli anampenda ataelewa then wajaribu kutafuta tiba huenda tatizo sio kubwa sana labda akipata marekebisho aweza nasa .
Kama uko makini habari hii inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom