Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
yaweza kuwa true au ubunifu lakini nami nina true story ya my best frend inafanana kabisa na hii ya MM bint huyo sasa yuko kwenye ndoa 5yrs na hajafanikiwa kupata mtoto na hajui aanzeje kumweleza mumewe kuwa aliabort!mkuu MM hiii ni true story au ni ubunifu wako wa utunzi wa kila siku???
Mpe pole sana duniani kuna mambo mengi ya kuhuzunisha, hata akimwambia mmewe mambo yatabakia kuwa yale yale ..atubu dhambi zake kwa mwenyezi mungu aombe kwa imani Sara alipata mtoto wa uzeeni.
Lakini kama hayuko Confotable na anateseka moyoni kwa dhambi aliyoifanya amwambie tu mmewe ili angalau awe free na huo mzigo alioutunza moyoni mwake .
Ama wakachukue mtoto yatima wamtunze kama wa kwao
Akasikia niliko.. kaomba ushauri.. amwambie mumewe ili awe na amani..? au aendelee kuombea wajaliwe..
mkuu MM hiii ni true story au ni ubunifu wako wa utunzi wa kila siku???
mkuu MM hiii ni true story au ni ubunifu wako wa utunzi wa kila siku???
Wanapotoa mimba, mara nyingi huwa hawafikirii mbele kutatokea nini!
true story...
loltrue story...