sasa wewe hujui baa ndio zinazo endesha serikali,kama hujui nenda[tra] wa kwambie nani ni mlipaji kodi mzuri kwenye nchihi utalia ndugu,leo nilikwenda phamasi kununua dawa,akaja bwana mmoja alikua kama ana fangazi usoni imemletea vidonda sasa doctor,akampa dawa,lakushangaza huyu bwana akasikitika kweli akamwambia doc kwaiyo kweli leo sinywi pombe,doc akamwambia ndugu yangu sikwambi usinywe leo bali uiache pombe kabisa,nilishangaa sana yani mtu anajali pombe kuliko afya yake,amakweli pombe pombe itawa maliza watanzania na serikali inachekelea na kuipa matuzo [tbl]kweli mungu atunusuru wa tanzania,