Utiriri wa Phds Tanzania

uchwara

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
438
134
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Dodoma ,aliandika thesis hii "Women’s Beauty in the History of Tanzania"
na kupewa Phd !!!

Si ajabu ndio maana tunaendelea kudidimia kielimu kutokana na wasomi kama hawa!
 
Maamuzi mengi ambayo watanzania tunachukua yanatuumiza cc wenyewe.
Sishangai sana sababu kila kitu kinafanyika kwa kupangwa lengo likiwa kuongeza CV's huku tukisahau madhara yatokanayo na maamuzi yetu. Wenye kufanya hivyo wanadai wanalindana. Hii sio haki, watanzania TUBADILIKE! Huku si KULINDANA bali KUANGAMIZANA! Kizaz kijacho kitajifunza nn kutoka kwetu? Zaid tunaandaa uozo.
 
Naww andika yako bas upewe mbona mnakuwa na wivu wa kimbwa hvo? Hutak apate phd unataka apewe nn,au unajua alichokiandika humo ndan au wivu tu usiikuwa na mising
 
Naww andika yako bas upewe mbona mnakuwa na wivu wa kimbwa hvo? Hutak apate phd unataka apewe nn,au unajua alichokiandika humo ndan au wivu tu usiikuwa na mising

Wivu wa Phds?you are jocking,what a waste of time.
Women beauty?

Bill Gate (Microsoft)au The late Steve Jobs(Apple) wangekuwa Tanzania ungewadharau sana kwa kuwa walikuwa College drops out
 
inaawezekana hiyo title ikawa na maana tofauti na ulivoelewa
labda kwa ndani anazungumzia uzuri wa wanawake katika kuinua uchumi wa tanzania
akimaanisha juhudi katika kazi na maendeleo
labda ungetupa abstract ya PhD yake inasemaje ndio uje na bandiko lako hapa.
mbona kuna watu wanahesabu magari barabarani nakuandika phd kuhusu idadi ya magari na muda wa kukaa barababarani na kupewa Phd??? mwingine kaandika phd muda wa kuwalisha watoto nk...
 
elimu ni ujuzi bwana, ukimwona mtu anag'ang'ana na vidato mchunguze kwa makini, wengi wao ni watafuta vyeo
 
Guys tusitokwe na povu unnecessarily. Kusoma shule sio kuelimika na si mara zote shule ina-detrmine uwezo wako wa kuongoza kiufanisi japo wengi tungetemea shule/elimu ikukomboe kwa namna fulani. Dr. Nchimi kasoma kweli na alichokiandikia kina mashiko. Yaweza kuwa si machoni pako lakini kwa wengine kina maana sana.

In a nutshell, this is how she came to conduct such a study.

.

Source: University of Cape Town
 
Wewe unakuja na title tu na kuanzisha mada!!!!!!
Mbona mambo mengine ya ajabu humu, hebu kosoa "problem statement/objectives/methodologies etc" tujue umeilewaje hiyo kazi yake!! Si ajabu umetajiwa hiyo title tu na kuanza kubwabwaja humu JF!
Elewa sio wote watafanya tafiti ya kitu kinachokugusa wewe na maisha yako!
PhD from UDSM
Supervised by Prof Michael Godby (UCT), Prof Sandra Klopper (UStell) & Prof Amandina Lihamba (UDSM)
 
Muache apate, siku hizi unadhani hizo hua zina matter? Kinachomatter ni kilichopo kichwani na experience, kama yuko safi mchomoko mweupe, kama anayumba siku mbili tatu wanatema chini, unadhani hata kama una PhD mia ukienda kupiga job wakakukubali afu ukazingua utabakizwa mwaka? Siku hizi kuna system inaitwa piga kotekote ongeza maujuzi, we unaona likizo watu wanapiga summer courses wengine wanaenda kuangalia HBO nyumbani, gep lazima liwepo...
 
Mleta mada umechemkaaa!!!! Unajaji kitabu kwa kuangalia rangi au jalada lake. Pole weee!!! Soma contents na contribution ya hizo findings katika jamii.
 
don't judge a book by its colour
pili, title yako imekinzana na content
 
Dr. Rehema Nchimbi alikuwa mwanataaluma kabla haijaingia kwenye siasa. Hivyo, PhD yake ni ya kusomea na si ya kupewa kwa heshima kama ambavyo tumeshuhudia siku za hivi karibuni wanasiasa na viongozi wengi wakipewa PhD.

Utakuwa hujamtendea haki hata kidogo kwa kujadili na hata kutoa hukumu kwa kusoma title tu ya thesis yake tu bila kujua muktadha wa utafiti mzima uliopekekea andiko hilo na pia kwa kuzingatia utalaam wake (au masomo aliyokuwa anafundisha chuo kikuu). Waingereza wana msemo kuwa 'you can not judge a book from its cover'


Kwamba, PhD yake inamsaidiaje katika kazi zake kama kiongozi, huo ni mjadala mwingine.



Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Dodoma ,aliandika thesis hii "Women's Beauty in the History of Tanzania"
na kupewa Phd !!!

Si ajabu ndio maana tunaendelea kudidimia kielimu kutokana na wasomi kama hawa!
 
Ph.D ya huyu mama nafikiri haina tatizo kwani miaka michache nyuma alikuwa ni mhadhiri UDOM,sijajua kama bado anaendelea kufundisha.
 
hao walioandika thesis sina shida nao hata wangeandika "zitto kabwe in chadema". Tatizo langu ni kwa watu kama Reginald Mengi, waziri Nchimbi, Mary Nagu n.k wanaotamba na Phd feki zisizotambuliwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…