Utiriri wa Phds Tanzania

Duh,hii kali ya kufungia mwaka.Na uyo mhadhiri aliyesimamia Thesis yake aliipitisha topi hiyo kwa maslahi gani kwa nchi.This is United Republic of Tanzania,ni zaidi ya tuijuavyo.
Siyo kila thesis ya PhD inamasilahi kwa nchi.syo lazima.kumbuka hyo PhD ni ya history
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Dodoma ,aliandika thesis hii "Women’s Beauty in the History of Tanzania"
na kupewa Phd !!!

Si ajabu ndio maana tunaendelea kudidimia kielimu kutokana na wasomi kama hawa!
Acha utani sisi ni watu wazima ndugu yangu
 
Back
Top Bottom