Uthibitisho / uambatanisho wa tiba ya babu

kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
33
nina furaha kuwajulisha wadau wenzangu hapa Jf kua ule mti ( mugariga) babu anaotaja kutumia ktk tiba yake akiambatanisha na maombi ulishafanyiwa utafiti huko kenya miaka ya nyuma kwa kule hautwi jina hilo!!! ila sifa zake na uoto wake na matumizi unaonesha ukaribu sana na huu mugariga.(angalia publication attached)then discussion ianze!! nawasilisha
 
Back
Top Bottom