Uteuzi wa wastaafu - hii imekaaje?

Uteuzi wa wastaafu - hii imekaaje?

Ustaadh

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
413
Reaction score
20
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa "Mtemi" wa TZ kuteua wastaafu katika nyadhifa mbalimbali mfano...Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Mstaafu Mark Bomani kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Kamati ya kusimamia Utekelezaji wa Majukumu ya Mpango wa Tasnia ya Uziduaji (Executive Industries Transparency Initiative – EITI).

  • Hivi, kuteua wastaafu ni kutokana na ukosefu wa watu wenye sifa au ni mambo ya kujuana, kulipana fadhila na undugunaizesheni?

  • Hawa "wastaafu" watastaafu lini?

  • Kustaafu nayo imekuwa 'sifa" au "kigezo" cha kuteuliwa?
 
Back
Top Bottom