Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,585
- 3,182
HahaHongera Sana Kwa Uteuzi
Ataapishwa Lini Huyo Mheshimiwa
Au tuseme ni promotion ya demotion iliyo katika kiwango cha hali ya juu! Tena kwa hicho cheo kipya eti bado ni "kaimu".Waooh! Kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa mpaka kuwa mwalimu mkuu shule ya msingu.
Hii kwa mimi naiyona ni Demotion na siyo Promotion.
Hongera Mamaa..
hahahhahahhahahaHilo sio anguko, ni poromoko[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika wewe unamfahamu Mwalimu Mahiza. Huyu mama ni kati ya Walimu bora na mahili katika sekta husika. Siasa zilimtoa kwenye wito wake (Ualimu). Kwa wanaomfahamu ni mtu makini sana.Alikuwa mkuu wa shule hiyo tena kama sikosei mwanzilishi kabla hajanyakuliwa na JK kwenye vyeo vya kisiasa, kwa hiyo anarudi kuimarisha shule hiyo ya binafsi. Shule ilianza vzr sana miaka hiyo ya 90s lkn baada ya kuondoka yeye kiasi ilipoteza mwelekeo watu wakaaza kuikimbia taratibu.
Lakini kabla hajaingia kwenye ulingo wa siasa, huyo mmama alikuwa ndiye mkuu wa hiyo shule. Kwa hiyo kairudia kazi yake ya zamani
kwa io ameitwa kuweka mambo sawa?Alikuwa mkuu wa shule hiyo tena kama sikosei mwanzilishi kabla hajanyakuliwa na JK kwenye vyeo vya kisiasa, kwa hiyo anarudi kuimarisha shule hiyo ya binafsi. Shule ilianza vzr sana miaka hiyo ya 90s lkn baada ya kuondoka yeye kiasi ilipoteza mwelekeo watu wakaaza kuikimbia taratibu.
Kutoka kwenye ualimu mkuu to uwaziri to ukuu wa mkoa to kaimu mwalimu mkuu....what a shameKatika maisha kurudia kazi ya zamani wakati ulikua umepata nyadhifa kubwa serikalini ni jambo la ajabu na aibu kubwa sana. Kiufupi kafeli.
Huyo hawezi kurudi, ali mess up na kuwaletea nyodo Saidi Mtanda na Nape..walichofanya "wakamkomesha" kama ambavyo yeye aliwakomesha 2015..matokeo yake wote wamekosa! mama ana nyodo sana huyo..!Kwa kweli huyu Mama namkubali alikuwa mchapa kazi hodari sana enzi zake. Mhe.Rais mfikirie kwa nyadhifa zaidi ya hii.