Uteuzi wa majaji,mawaziri wasio na sifa wajidhilisha.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Kuchemka kwa waziri wa wizara nyeti,ya elimu na ufinyu wa upeo aliouonyesha juu ya historia ya nch yake mbele ya jukwaa la kimataifa,kulionyesha tashwira ya aliyemteua alivyo,serikali ilivyo,wizara ya elimu ilivyo,na wananchi anaowaongoza walivyo.
 
Back
Top Bottom