Sikia Mfianchi, kama radio ya kiislamu imesema hivyo, ina maana ndio fikra zilizopo kwa wenzetu hao. Labda ambacho hujui hadi sasa ni kwamba Kadhi Mkuu wa Zanzibar analipwa na Serikali ya Zanzibar. Yaani wananchotaka kifanyike huku Bara ndio kinachofanyika kule Zenji. Kwa Zenzji mambo yaliachwa hicho maana kule asilimia zaidi ya 98 wa wakazi wake ni waislamu, tofauti na huku Bara ambako tunagawana karibu nusu kwa nusu. Na Zenji ni nchi ya kiislamu, ila kwa sababu ya muungano ndio maana haisemwi wazi.:teeth:
kweli-nakuunga mkono kwa hiliHizo percent za nusu kwa kwa nusu wala sio kweli. Kuna watu walianzisha hizo namba sijui kwa sababu gani. Kwa kufuata tafiti mbali mbali, Muslims kwa Tanzania nzima ni kati ya 35-39%, jumla yao karibu 10-13M, na kwa idadi, ni kati ya nchi za kiafrika zenye wasilam wengi.
acha rais aidhinishe huo uteuzi wao. kwani kuna ishu gani kama tukimlipa mtu mmoja? siyo ishu hata kidogo...kwanza hela yenyewe ndogo tu.
Sikia Mfianchi, kama radio ya kiislamu imesema hivyo, ina maana ndio fikra zilizopo kwa wenzetu hao. Labda ambacho hujui hadi sasa ni kwamba Kadhi Mkuu wa Zanzibar analipwa na Serikali ya Zanzibar. Yaani wananchotaka kifanyike huku Bara ndio kinachofanyika kule Zenji. Kwa Zenzji mambo yaliachwa hicho maana kule asilimia zaidi ya 98 wa wakazi wake ni waislamu, tofauti na huku Bara ambako tunagawana karibu nusu kwa nusu. Na Zenji ni nchi ya kiislamu, ila kwa sababu ya muungano ndio maana haisemwi wazi.:teeth:
Mtego wa noti unasema hiyo fedha si nyingi maana nayelipwa ni mtu mmoja, unakosea sana. Sikia, Kadhi ndio muhimili wa mahakama ya kiisslamu, yaani ni sawa na kumteua jaji mkuu, unadhani atafanya kazi bila wasaidizi. Ajenda ya sasa ni kuidhinidha mfumo wa mahakama ya kiislamu tanzania, ikishakubaliwa huyo kadhi ndio atapanga jopo wa watu wa kusikiliza mashauri ya kiislamu katika ngazi zote kuanzia vijijini hadi ngazi ya juu ya rufaa ambako ndio unakutana na kadhi. Na wote hao watalipwa na serikali kama watanzania tutakubali. Kwa hiyo siyo suala la mtu mmoja, ni suala la kuanzisha taasisi ya mahakama ya kidini (UISLAMU). Kinachokera, ni kwa nini watu wang'ang'anie mahakama hiyo igarimiwe na serikali??????
Serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
Serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi
Mkuu Kadhi ni kama Chief Judge wa Tanzania na Kadhi sio ibada ni mahakama kama zilivyo mahakama zengine. Ni muhimu mkalifahamu hilo kwanza ama kuhusu hili la kuwa approved na rais hili linahitaji mjadala kidogo anateuliwa vp na kwa masharti yapi. Pia Rais lazima ijulikana yeye anaaprove au anateua maana isije kugeuzwa kuwa a political post kwani hilo litakuwa sio sawa kwani hiyo ni sehemu ya kisheria.
Kuhusu kulipwa mshahara chief kadhi hilo halina mjadala kwani ni sehemu ya mahakama na hivyo basi kama mahakimu wanalipwa na serikali nae huyu alipwe na serikali kwani taaluma sio kila mtu anakuwa nayo (Vyuo viwili tu navyovifahamu mie ndio vinafahamika kutoa degrees za sharia duniani King Fahd University, University of Al-Azhar). Sasa ni vema wakalipwa na serikali watu wanaofanya kazi hizo. Haihusiani na demographic statistics which by the way hauko sahihi kwani study nyingi zinaonyesha waislamu wako between 33-36%, wakristo wako between 30-34%, the rest wako (wapagani, hindu na dini nyenginezo) between 30-33%. Hivyo basi waislamu ni a substantial part of the population ya watanzania who deserve this service from the government.
serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi
Mdondoaji if Muslims ar substancial part of TZ and so to Christinans, shall Christians demand the same servise from the GOV? say Catholics have their own court established for decades now and never demanded their Judges be serviced by the Gov, bu who knows with JK gov every thing is possible but not acceptable! need firsely discussions
Nipe thanks mkuu........
no we need to declare that this is a pagan state which respects religions of its citizens. period.
Je president akiwa si mwislamu watakubali awateulie kadhi? kwa nini wanakuwa stupid kiasi hiki kutoelewa hata jawabu la hesabu ndogo ya 1+1? kikwete atakuwa rais wa maisha?
Kikwete kesha jiandalia ulaji UN tayari through Migiro and Ban ki Moon, can these ropi dops read between the lines?