Uteuzi wa Kadhi Mkuu kuthibitishwa na Raisi wa Serikali ya Muungano

Jana nimesikiliza radio ya Kiislamu ,ambapo mtaalamu wa mambo ya dini ya Kiislamu alikuwa anaelezea jinsi ya Kadhi Mkuu atakavyopatikana,amesema masheikh watakaa na kumpendekeza mtu watakaye muona anafaa kuwa Kadhi Mkuu ambaye kwao wao ndiye atakuwa kama mkuu wa mambo ya maamuzi ya kisheria yahusuyo masuala ya waumini wa Kiislamu hapa Tanzania,na wakimpendekeza huyo mtu ,jina lake litapelekwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,ambaye ndiye atakaeidhinisha na kuwa Kadhi Mkuu ni .............,sasa mimi nilichoshangaa ni je kwanini Raisi wa Jamhuri ya Muungano ndie aidhinishe uteuzi wa Kadhi Mkuu?kwani je serikali ina dini?na kwa Kadhi Mkuu kuidhinishwa na Raisi ina maana ni mwaajiriwa wa serikali? na kama ndio hivyo je atafuata masharti ya ajira ya serikali na kwa kuwa Raisi ndie atakayeidhinisha ina hela yangu ya kodi mimi mkiristo ndio italipa mshahara na marupurupu ya muislam?
Hakika kama mambo ndio hivyo basi sina budi kusema Serikali kwa kukubali suala la Kadhi Mkuu kushughulikiwa na serikali inatupeleke mahali kusiko sisi watu wa dini nyingine,mwishowe hata wapagani watadai wawe na musimamizi wa mambo yao ya kisheria atakayelipwa na serikali.

Hujui kuwa kwa sasa kesi nyingine za waIslam na wasio waIslam hupelekwa kwa kabidhi wasihi wa Serikali na hapo kuna Masheikh, Mapadri na wengineo ambao wanalipwa ya ama permanent ya ama part time. Na ni hizo hizo pesa za walipa kodi!
 
There are no appeals to the judgements of a qadi. Dini ya shetani hii!

Sijaiona proposal walioiandaa waislamu kuhusu kadhi but kwenye baadhi ya nchi nimeona appeals mbali mbali mpaka mahakama kuu kupinga maamuzi ya baadhi ya majudge kuhusu masuala fulani. Mfano Iran na waliamua kumhumuku yule mama kwa kumpiga mawe mpaka afe but ikawa kuna mjadala kuhusu evidence zilizotolewa. Kesi ilipokuwa appealed mahakama kuu imerevoke ile decision ya kumpiga mawe mpaka kufa kwani kuna mapungufu mengi sana katika vithibitisho kuwa amezini. Sasa hivi amebakia na kesi ya kumuua mumewe tu!! Hivyo sidhani kama kutakosekana appeals na hivyo sio kweli kama unavyotaka kulionyesha kwa wanajamii kuwa eti mahakama ya kadhi itakuwa haina appeals.
 
Ikiwa hivyo itakuwa ni kichekesho cha karne, maana akivurunda shehe huyo, rais atamwajibisha aidha waislam wa Tanzania ni watu waungwana sidhani kama wanaweza kukubali dini yao iwe chini ya serikali maana kama rais atachagua jina inamaana anauwezo kuliondoa. Hata hivyo ni masikitiko makubwa kuwa watanzania waliowengi hawajui kuwa uwezo wa rais unatokana na kilichomo ndani ya katiba!!!!!!:sleep:
 
Kwa Kadhi hakua RUFAA:

Qadi (also known as Qaadi, Qaadee, Qazi, Kazi or Kadi) (Arabic: قاضي qāḍī‎) is a judge ruling in accordance with the sharia, Islamic religious law appointed by the ruler of a Muslim Country.[/B][/COLOR] Because Islam makes no distinction between religious and secular domains, qadis' traditionally have jurisdiction over all legal matters involving Muslims. The judgment of a qadi must be based on ijmah, the prevailing consensus of the ulema, Islamic scholars.
A qadi must be an adult and free man, a Muslim, sane, unconvicted of slander, educated in Islamic science, and his performance must be totally congruent with Sharia without using his own interpretation. In a trial in front of a qadi, it is the plaintiff who is responsible to bring evidence against the defendant in order to have him or her convicted. There are no appeals to the judgements of a qadi.The Qadi must exercise his office in a public place, the chief masjid is recommended, or, in his own house, where public should have free access. A qadi must not receive gifts from participants in a trial and he must be careful in engaging himself in trade. Despite the rules for the office, Muslim history is full of complaints about qadis. Often it has been a problem, that qadis have been managers of waqfs, religious endowments. The origin of the institution of qadi, is the old Arab arbitrator, the hakam, but qualities from officials in areas conquered by Arabs have been added to the structure.

Kwani Tanzania ni nchi ya kiislam?
 
Tanzania si Iran! Waislamu wetu ni elimu madrasa ile elimu nyingine ni vilaza, Ona mtu anaandika barozi vatcan! Unategemea kipi kwenye kichwa hicho

Mkuu tofautisha baina ya Waislamu na uislamu. Kuna waislamu ambao akili zao wanazijua wenyewe kama walivyo wakristo akili zao wanavyozijua wenyewe. Mfano nitakupa kuna mmoja aliwahi kusema kuwa waislamu dini yao inawaamuru watu kuua na imepatikana kwa mapanga. Huyu unadhani utakaa naye na kujadiliana naye kwani ubongo wake ni sawa na mwendawazimu anayetembea mtupu barabarani. Sasa generalisation ni mbaya mkuu haijengi!!!
 
acha rais aidhinishe huo uteuzi wao. kwani kuna ishu gani kama tukimlipa mtu mmoja? siyo ishu hata kidogo...kwanza hela yenyewe ndogo tu.

Kadhi anawapambe wao wanaitwa mahakimu wa kesi zao. Utalipa maji, vyoo, umeme ili ofisi zao zifanye kazi kila mkoa Tanzania.

Swali langu: Kodi za Nguruwe,Sigara, pombe ndo vyanzo vya mapato TRA;Je, Imani yao inakubali kulipa mishahara ya Kadhia???
 
Wapewe tu hiyo mahakama ili wakatane mikono na miguu, na mwisho wa siku tuona yale ya kupiga mawe wazinzi
 
Serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
Serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi

Hebu taja huduma wanazopewa Vatican na Tanzania??
 
Jana nimesikiliza radio ya Kiislamu ,ambapo mtaalamu wa mambo ya dini ya Kiislamu alikuwa anaelezea jinsi ya Kadhi Mkuu atakavyopatikana,amesema masheikh watakaa na kumpendekeza mtu watakaye muona anafaa kuwa Kadhi Mkuu ambaye kwao wao ndiye atakuwa kama mkuu wa mambo ya maamuzi ya kisheria yahusuyo masuala ya waumini wa Kiislamu hapa Tanzania,na wakimpendekeza huyo mtu ,jina lake litapelekwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,ambaye ndiye atakaeidhinisha na kuwa Kadhi Mkuu ni .............,sasa mimi nilichoshangaa ni je kwanini Raisi wa Jamhuri ya Muungano ndie aidhinishe uteuzi wa Kadhi Mkuu?kwani je serikali ina dini?na kwa Kadhi Mkuu kuidhinishwa na Raisi ina maana ni mwaajiriwa wa serikali? na kama ndio hivyo je atafuata masharti ya ajira ya serikali na kwa kuwa Raisi ndie atakayeidhinisha ina hela yangu ya kodi mimi mkiristo ndio italipa mshahara na marupurupu ya muislam?
Hakika kama mambo ndio hivyo basi sina budi kusema Serikali kwa kukubali suala la Kadhi Mkuu kushughulikiwa na serikali inatupeleke mahali kusiko sisi watu wa dini nyingine,mwishowe hata wapagani watadai wawe na musimamizi wa mambo yao ya kisheria atakayelipwa na serikali.

Kwa rais kufanya nini nchi hii haiongozwi kidini, Hayo mapendekezo yapelekwe Bakwata ndio wayapitishe.
 
acha rais aidhinishe huo uteuzi wao. kwani kuna ishu gani kama tukimlipa mtu mmoja? siyo ishu hata kidogo...kwanza hela yenyewe ndogo tu.

Unaonekana na hauna elimu ya kutosha kuhusu suala la kadhi. Suala siyo mshahara mdogo, hoja ni je! hii ni sawa ukizingatia Kadhi ni suala la kidini na haliwahusu watz wote??? Eti tukimlipa mtu mmoja. Kila mkoa na kila wilaya italazimika kuwa na wasaidizi wa kadhi? Hiyo ni ofisi siyo mtu mmoja. Kama waislamu wanataka, wakachukue fedha kutoka kwenye misikiti yao wagharimie gharama hizo. Unafikiri mtu kutoka Tandahimba naye atakuja DAR kwa kadhi mkuu?? Basi, huyo kadhi takufa kwa siku moja kwa uchovu wa huduma kwa waislamu wenzake!!. Ni suala la nchi nzima. Upate uelewa zaidi ndugu yangu. Usikubali kubali tu. Hata Teja anahoji anapoona mambo hayaendi sawa.
 
kwa kuanzia naomba nikuulize vatican ni nchi au taasisi na inatambulika kwa sheria zipi?

Ni nchi na inatambulika na UN na wapenda maendeleo wote duniani wasiojilipua mabomu na inaongozwa na POPE anayetambulika kama kiongozi wa nchi na dunia yote
 
Ni nchi na inatambulika na UN na wapenda maendeleo wote duniani wasiojilipua mabomu na inaongozwa na POPE anayetambulika kama kiongozi wa nchi na dunia yote

Mwongo kabisa Vatican sio mwanachama wa UN hadi sasa ninavyoandika. Labda umoja wa mataifa huo uliunda wewe na wenzio unaowaita wapenda maendeleo.
 
Back
Top Bottom