Uteuzi wa Dkt. Biteko ni mchawi mpe mwana amlee

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,255
Reaction score
16,185
Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini.

Inasemekana kuwa wakati wa awamu ya tano umeme ulikuwa haukatiki katiki ovyo kama Sasa na mambo kwenye wizara zote yalikuwa yanakwenda vizuri kuliko Sasa kwa vipimo vya wakosoaji wa serikali ya Mama Samia.

Dr. Biteko kuteuliwa kuwa Naibu waziri Mkuu na waziri wa nishati ni jibu la wakosoaji wa serikali ya Mama Samia kwenye kukatika katika kwa umeme na utendaji kwenye wizara zote. Huyu atakuwa shahiti kama kweli Kuna uzembe uliokuwa ukifanywa na January makamba kwenye umeme au la maana Sasa ndiye waziri wa nishati. Ni shahidi kama Mwl. Majaliwa anazembea katika usimamiaji utendaji wa wizara zote maana Biteko ni Naibu waziri Mkuu.

Tunasubiri majibu ya kero zetu kujua kama kero hizi ni genuine au za kizembe TU?
 
Nakubaliana na wewe juu ya Uchapakazi wa DPM Biteko lakini sikubaliani na wewe kwamba yupo kwenye kiwango sawa na Hayati Magufuli.

Hayati Magufuli balaa lake sio dogo na uchapakazi wake sio wa dunia hii, Magufuli ndio angekuwa Waziri wa nishati leo,Mafuta yangepatikana humu humu ndani. Waliofucha sukari walitoa wenyewe kipindi kile cha uhaba na bei wakashusha wenyewe.

Yule mtu alikuwa anaogopwa aisee, unaona kabisa anapoongea na watumishi au viongozi jinsi anavyotisha. Magufuli angekuwa na sauti nzito kama ya Hayati Mkapa, najaribu kutafakari hapa ingekuwaje.
 
Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini.

Inasemekana kuwa wakati wa awamu ya tano umeme ulikuwa haukatiki katiki ovyo kama Sasa na mambo kwenye wizara zote yalikuwa yanakwenda vizuri kuliko Sasa kwa vipimo vya wakosoaji wa serikali ya Mama Samia.

Dr. Biteko kuteuliwa kuwa Naibu waziri Mkuu na waziri wa nishati ni jibu la wakosoaji wa serikali ya Mama Samia kwenye kukatika katika kwa umeme na utendaji kwenye wizara zote. Huyu atakuwa shahiti kama kweli Kuna uzembe uliokuwa ukifanywa na January makamba kwenye umeme au la maana Sasa ndiye waziri wa nishati. Ni shahidi kama Mwl. Majaliwa anazembea katika usimamiaji utendaji wa wizara zote maana Biteko ni Naibu waziri Mkuu.

Tunasubiri majibu ya kero zetu kujua kama kero hizi ni genuine au za kizembe TU?
Wasukuma wana akili sana
 
Fuatilieni mifumo ya CCM na uhalisia wake. Hakuna mtu wa kariba ya magufuli ameishi miaka mingi kwenye utumishi wake. Aidha achague kuungana na mifumo au afe kabisa. Taja majina ya watu walioonekana kuwa wakombozi wa nchi hii na wakabaki salama for Long time
 
Uko sahihi, umaskini wetu huu unatengenezwa nje ya nchi hii. Kama hatutakaa kitako kama nchi na kama bara kulijadili hii tutaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe mikaka yote.
 
Fuatilieni mifumo ya CCM na uhalisia wake. Hakuna mtu wa kariba ya magufuli ameishi miaka mingi kwenye utumishi wake. Aidha achague kuungana na mifumo au afe kabisa. Taja majina ya watu walioonekana kuwa wakombozi wa nchi hii na wakabaki salama for Long time
Nimesema na narudia kusema,
"Ngoja aguse mafuta ya Wenye nchi ndo atajua hajui".
 
Mwanzo mama alidhani anaweza kuiongoza Tanzania Kwa kuchekacheka na watu

Inabidi pia apewe lungu la kutumbua tumbua bila ya hivyo hii nchi haiwezi kuenda
 
Alitamani kupigiwa makofi na kusifiwa kwamba anaiponya nchi!!

Sasa jipu limeiva na limetumbuka lenyewe; linamuwasha
 
Kuongoza watu wenye njaa lazima uwe shupavu sana.
 
Waliofucha sukari walitoa wenyewe kipindi kile cha uhaba na bei wakashusha wenyewe..
Mijitu inayomuabudu Magufuli inakuwa kama vile mufilisi kwenye ubongo. Yanasifia mpaka yanaongopa.

Kwa taarifa yako Oktoba 2015 bei ya sukari ilikuwa Tsh 1,800/= kwa kilo. Huyo mpumbavu wenu mnayemuabudu alipoingilia hiyo bei ilipanda hadi Tsh 3,000 -5,000/= kwa kilo.

Danganya wajinga wenzio tu, sisi tuna takwimu
 
Hebu eleza namna katiba mpya itakavyozuia kukatika kwa umeme mara kwa mara
Mafanikio au Failures zako za maisha kipindi hiki zinaweza kuwa reflection ya juhudi au uzembe uliofanywa na watu waliokulea,kukusomesha na kuku-influence socially wakati ukiwa mdogo.... That's KATIBA au kwa lugha nyepesi Work-Plan, utaratibu au Terms and conditions...ukikosea katika hayo usitegemee miujiza.
 
Mijitu inayomuabudu Magufuli inakuwa kama vile mufilisi kwenye ubongo. Yanasifia mpaka yanaongopa.

Kwa taarifa yako Oktoba 2015 bei ya sukari ilikuwa Tsh 1,800/= kwa kilo. Huyo mpumbavu wenu mnayemuabudu alipoingilia hiyo bei ilipanda hadi Tsh 3,000 -5,000/= kwa kilo.

Danganya wajinga wenzio tu, sisi tuna takwimu
Pimbi mkubwa wewe na sjui kwa nini hukutekwa wewe!
 
Kwa vyovyote vile Rais JPM asingetufikisha popote hata kama Nia ya kutufikisha popote alikuwanayo. Nchi ilikwishafikisika, biashara zilikufa, watumishi wanadai, wakandarasi wanadai, mifuko ya hifadhi ya jamii ilifilisika, wastaafu wanadai, wafanyabiashara wanaporwa fedha zao, benk zimefilisika na hazina ilikauka kau. Hali ilikuwa ngumu sana kwake kifedha na kimahusiano na mataifa mengine, asingekuwa na namna yoyote Ile ispokuwa kuachia ngazi, kuwekewa vikwazo au kupata shambulio la moyo.

Isingekuwa busara kwa Rais Samia kuanza kutuambia kwamba hazina hakukuta kitu na amekuta madeni kibao
 
Pimbi mkubwa wewe na sjui kwa nini hukutekwa wewe!
Wewe ni mende. Unakula kwenye makabati lakini unaishi kwenye makaro na mitaro ya maji machafu.

Unabisha bei ya sukari wakati wa mwendazake??
 
Back
Top Bottom