Magufuli hapendi sana siasa kwasababu siasa ndiyo chanzo cha machafuko nchi nyingi za Africa na viongozi kujificha humo huku wakiwaibia wanainchi rasilimali zao na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.
RC mpya Kilimanjaro amejikita sana ktk maboresho ya Huduma za jamii Si siasa za ushindani na misuguano.hapendi siasa za misimamo mikali.
Ule usemi wa "if u cant bit them...." inaweza kutumika sasa. Ni muda wa kurudi chana kilichokukuza kisiasa, its never too late na hakuna dhambi isiyo na msamaha likewise hakuna mwanadamu msafi wote tu wadhambi. Time to use 2nd option.Zitto kwishaaaaaaaa,aitishe uchaguzi sasa
Siku nikisikia huyo mtu kuteuliwa nitaandamana haki yamunguHaaa haaaa haaa lemutuz si angejenga min bar ofisi ya mkuu wa mkoa akaanza na kuinvite bebez kutoka chuo cha ushirika kila siku ingekuwa parii in the house you know what l say
Our president is a genuis. Nilimpa kura yangu nikiamini kuwa yeye hana chama katika shughuli za umma na watanzania wote ni watu wake. Wale wenye mashaka sasa wageuke na kumwamini.Kama ni kweli kajiwekea mahali pa kuanzia
Tonge limemponyoka mdomoni, dingi yake nasikia kamuharibia kwa mwenyechama, eti baba na ntoto hawaelewani, na dogo alishaanza kumlingishia babae kuwa tayari ninamiliki mkoa, na tambo nyinginezo kwa mademu zake.......nmeamini leo sifa ya kuwa mkuu wa mkoa ni kusoma na kuandika tu .mengine tupa kule.le mutuz atalia sana leo maana best yake alishamuhakikishia hii nafasi