UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Dkt. Mussa Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA)

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,693
Rais Magufuli afanya uteuzi
IMG-20190626-WA0005.jpeg
 
Naye asifanye sherehe. Asubiri kutenguliwa.

Hakuna kufurahia uteuzi awamu hii, sanasana sikitika maana unaharibiwa CV.
Huyu alotumbuliwa(rafiki wa dau) nae alianza ka udini flani pale TIRA, sasa na wewe mteule mpya usikubali kuyumbishwa na mambo ya ki imani, puga kazi.
Mtenguliwa aliajiri vijana kama wawili ambao ni wafuasi wakubwa wa Dau, sasa wafatilie kwa karibu hao wanaweza kukuharibia.
Ushauri si lazima uupokwe.
KAZI NJEMA
 
mamlaka za uteuzi ndio zinashida ,zinaangalia vyeti badala ya utendaji
hata mteuliwa mpya ni mwalimu hajafanya kazi kwenye taasisi za bima,waangalie pia na sekta binafsi
 
TIRA wameharibu ushindani uliokuwepo kwenye soko la bima. Hata zile incentive tulizokuwa tunapata wateja zimekufa. Unakata bima kwa mwaka hujapata tukio lolote la kudai au kutumia bima ysko ukienda kuhuisha bima yako unalipa premium zaidi ya uliyolipa mwaka jana. Ukiwa na bahati utalipa ileile. Ukiuliza unaambiwa TIRA waliagiza hayo. Tunataka ushindani ili tuone huduma nzuri. Siyo kufanya makampuni yote yawe sawa.
 
Back
Top Bottom