Pinda,Membe etc wote hao utasikia enzi zao kabla hawajawa wabunge/mawaziri walikua wakifanya kazi chini ya ofisi ya rais.Nikionaga tu CV ina historia ya ofisi ya Rais huwa nahisi ni shushushu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda ya ziwa.
Kanda yetu, zamu yetu!
Sent from my iPhone using Tapatalk