UTEUZI: Papa Francis ateua Makadinari Wapya 21

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,391
5,010
Orodha ya walioteuliwa imeambatanishwa
  1. Jan-Marc Aveline, archbishop of Marseille, France
  2. Peter Okpaleke, bishop of Ekwulobia, Nigeria
  3. Leonardo Ulrich Steiner, archbishop of Manaus, Brazil
  4. Filipe Neri Antonio Sebastao di Rosario Ferrao, archbishop of Goa and Damao, India
  5. Robert Walter McElroy, bishop of San Diego, California
  6. Virgilio Do Carmo Da Silva, archbishop of Dili, East Timor
  7. Oscar Cantoni, bishop of Como, Italy
  8. Anthony Poola. archbishop of Hyderabad, India;
  9. Paulo Cezar Costa, archbishop of Brasilia, Brazil
  10. Richard Kuuia Baawobr, bishop of Wa, Ghana
  11. William Goh Seng Chye, archbishop of Singapore
  12. Adalberto Martinez Flores, archbishop of Asuncion, Paraguay; and
  13. Giorgio Marengo, apostolic prefect of Ulaanbaatar, Mongolia.
 
Ghana wanapandisha sana madarasa, kwa Tanzania kule Vatican utakutana na Wahaya na Wachaga wanafanya PhD.
Kuna Mtanzania for your information ni Katibu Mkuu wa wizara mojawapo ya Papa! Aren’t you proud of him?
 
Ghana wanapandisha sana madarasa, kwa Tanzania kule Vatican utakutana na Wahaya na Wachaga wanafanya PhD.
Hawa kutoka Jimbo la bukoba wamemaliza PhD zao huko Spain...
IMG-20220530-WA0004.jpg
 
Hivi Yesu nae alikuwa anateuwa makadinali??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa kiongozi makini kama huna wasaidizi! Makardinali ni Wasaidizi wa karibu wa Papa kule Vatican.

Ambapo Papa akiwa Vatican, ni Askofu Mkuu! Na Makardinali hugeuka kuwa Maparoko! Na hivyo kila Kardinali ana Kanisa analo liongoza huko Vatican.

Ukija kwa upande wa Yesu, na yeye alikuwa na Mitume wake 12! Hawa walimsaidia katika majukumu yake yote ya kuhubiri injili.
 
Back
Top Bottom