Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 292
- 191
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Bi. Yustina Rahhi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM, Rahhi ameteuliwa kufuatia kifo cha Mhe. Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa CCM Viti Maalum.
Hongera Tume ya Uchaguzi kwa kutekeleza takwa la kisheria, hongera mh mbunge kwa uteuzi sasa katumikie nchi kizalendo.Safii super sub!
Mafisi hufurahia Sana vifo vya wenzao maana huona ulaji.Uteuzi umefanywa kwa mujibu wa sheria kupitia Tume ya Uchaguzi ya Taifa
Uteuzi huo unafuatia kifo cha Mh Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CCM.
BRAVOHongera Tume ya Uchaguzi kwa kutekeleza takwa la kisheria, hongera mh mbunge kwa uteuzi sasa katumikie nchi kizalendo.
Mbona mengine hawatekerezi ???!!Hongera Tume ya Uchaguzi kwa kutekeleza takwa la kisheria, hongera mh mbunge kwa uteuzi sasa katumikie nchi kizalendo.
Barua ya marehemu Umbulla iliwahi kufika kwenye tume na Bungeni,lakini barua ya kina Covid 19 Basi haijawafikia Time na Ndugai.Mbona mengine hawatekerezi ???!!