Utetezi wa singles, fathers and mothers

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
393
Reaction score
733
Usingle nauona kama ifuatavyo;
Kwanza, ni uhalisia wa kisasa.
Pili, ni majaliwa. Ni mtu gani mwenye akili timamu aweza kuchagua hasara na kuchukia faida?
Tatu, tusiwahukumu. Asiye na dhambi, awe wa kwanza kurusha jiwe.
Tuwaonee huruma. Je, tungekuwa kama wao tungetaka tutendewe na kutenzwa vipi? Jiulize kabla ya kuhukumu wakati mwingine unaweza ukawa unajihukumu mwenyewe kwenye mapungufu yako.
Tushukukru sisi tusio kama wao si kwa ujanja wala uzuri wetu bali majaliwa.
Hakuna jipya chini ya jua.
 
Ni kweli wengi hawakutaka hali hiyo ila imetokea kwa bahati mbaya tu, kila mwanamke/mwanaume anahitaji mwenza wa jinsia tofauti wakati wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…