Habari wana JF,nahitaji msaada wa haraka jamani,nimekaa nikiteseka na fibroids kuanzia 2007 na nimeishatoa Mara mbili,Nina multiple fibroids...sasa imefika kipindi nashindwa hata Kushika mimba sababu hiyo sababu imeota Katika kizazi,jamani nimechoka sana sasa hivi nadhan labda nigeukie dawa za kienyeji tafadhali Kwa yoyote anaefahamu naomba msaada...
seriously,kwahiyo possibility ya kupata ujauzito tena ikoje?
Habari zenu wanajanvi,,
Kwa wale wataalam naombeni mnisaidie tafadhali,mwanamke anapofanyiwa upasuaji wa kuondolewa uvimbe kwenye kizazi ( fibrods ) inashauriwa akae kwa muda gani ndipo abebe mimba ?
Pole sana.mhh!! wataalam wanakuja
japo namie nasubiri oparetion yng tar 16.3 pale regency!! kuondoa hizo fibrod
mhh!! wataalam wanakuja
japo namie nasubiri oparetion yng tar 16.3 pale regency!! kuondoa hizo fibrod
Ni dawa ipi ? na inapatikanaje jamani,tusaidiane.pole mwaya ila kuna dawa rahisi sana yaweza kutumika bila kufanya operation yeyote.