msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,239
- 731
- Thread starter
- #61
Wewe usie na maradhi na matatizo unakimbilia nini kuombewa kanisani?Na wewe wa kuongea .Miradhi kibao,mitatizo nyumbani kwako kibao
Wewe usie na maradhi na matatizo unakimbilia nini kuombewa kanisani?Na wewe wa kuongea .Miradhi kibao,mitatizo nyumbani kwako kibao
Makonda has overstayed his term in Dar na ndiye wa kuobdolewa. Anampinga kiongozi anayetekeleza sheria kikamilifu.Hayo maneno yako kaongee na watu wa aina yako Kule Kazuramimba hapa Dasilam mta tii sheria bila shuruti.Hatutaki kelele tunahitaji utulivu
Yule aliyekuwa anazunguka nchi nzima, i mean huko katavi na sumbawanga kwenye ziara yake mkutano unafunguiwa na wazee wa GAMBOSH NI MLOKOLE AMA ILE DINI YA MJI MKUU WA ITALIA?
Maji marefu alikuwa mlokole?
Mzindakaya naye mlokole?
Jiwe anazungua na ma-gambosh , naye mlokole?
Answer: The book of Psalms is the praise book of the Bible, and it gives us hundreds of reasons why praise is important, as well as examples of how to give praise to God. In examining those reasons and examples, one thing becomes clear. “It is good to praise the LORD and make music to your name, O Most High...” (Psalm 92:1). Praise is a good thing. That means it is pleasant, valuable, and morally excellent. Psalm 147:1 tells us that praise is beautiful and agreeable.Haki ya Mungu ni pamoja na kuzaliwa, kuishi na kufa. Au wewe mwanzangu utaishi miaka mingapi? Hata muziki iliopitiza sauti ni kero kwa taarifa yako. Hivi aliekuambia Mungu anataka kusifiwa nani? Na lazima iwe sauti kubwa. You must be sick.
Tufanye "walokole ni mbwa mwitu" tukubaliane hapo sasa Kondoo ni akina nani?Hawa sio wanafiki wao wanafanya kweupe, walokole mnajifanya kondoo kumbe mbwa mwitu.
Acha udini,,kwa andiko lako hili WEWE ni full mdini,,ibada ni siku yoyote na saa yoyote, huwezi mpangia Raia,,Makonda kafanya sawa kabisa, Sofia alikurupuka. Wewe ni mdini mnooo me...z
watu wanataka makanisa yapelekweke industrial areas, alafu misikiti ibaki kwenye makazi.
WATU WANA CHUKI BINAFSI NA YESU NA ROHO MTAKATIFU
Haaaaaahaaaaa huyu nae,mm hata mjikusanye nchi nzima muombeeeee hakuna lolote litakalonitokea nilishawahi kuwa na bifu na watu dizaini hiyo wakajifanya wananishtakia kwa mungu baba wao huu mwaka wa ngapi sijui maisha yanaendelea walipiga kelele hadi wakaamua tu waniache!Sophia Mjema ana kitu anakiitafuta kwa Walokole hawajui vizuri.Na maombi yao ndio.yameamusha mapepo yake yaliyokuwa yamejificha kujidhihirisha hadharani.
Sophia Mjema toka apewe ukuu wa wilaya alikuwa mtu POA Sana na hakuwa na kashfa Sasa naona kajiingiza anga za kidini huko hatoki salama .Makonda kaeleza wazi kuwa hizo dini Zina mambo mengi ikiwemo ya usalama nk yeye ajipeleke tu kichwa kichwa atatolewa na kutupwa nje ya system mchana kweupe jua linawaka na asije kubweka humu kuwa kaonewa kayataka mwenyrwe na ujuaji wake wa kijinga
Haaaaaahaaaaa kwa mikwara haooooo ila ukiwajua tu hawasumbui!Acha vitisho, kwani umesikia Mungu ni wa walokole tuu. Soma maada uelewe, mimi nilitishwa mbona sijafa. Ulokole hampi mtu yryote haki ya kukera wengine kwani mkijifungia na kusali kimwa bila spika Mungu hatasikia sala zenu au mnafanya Mungu kuwa kiziwi? Hasikii mpaka kwa spika. Kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini dini aitakayo.
Nakupa siku 14:kamili kuanzia saa sita usiku Leo ndani ya hizi siku Bila kuongeza Wala kupunguza utamjua Mungu wa Walokole Ni Nani hao uliokuwa na bifu nao walikuwa wakiomba Yesu Mwanakondoo wa Mungu mimi namwomba Yesu Simba wa Yuda.Utamjua Simba wa Yuda Ni naniHaaaaaahaaaaa huyu nae,mm hata mjikusanye nchi nzima muombeeeee hakuna lolote litakalonitokea nilishawahi kuwa na bifu na watu dizaini hiyo wakajifanya wananishtakia kwa mungu baba wao huu mwaka wa ngapi sijui maisha yanaendelea walipiga kelele hadi wakaamua tu waniache!
Mkuu unaweza kuniambia faida ya dini kwa nchi za Afrika tangu zilipoletwa na wazungu na waarabu?Nakupa siku 14:kamili kuanzia saa sita usiku Leo ndani ya hizi siku Bila kuongeza Wala kupunguza utamjua Mungu wa Walokole Ni Nani hao uliokuwa na bifu nao walikuwa wakiomba Yesu Mwanakondoo wa Mungu mimi namwomba Yesu Simba wa Yuda.Utamjua Simba wa Yuda Ni nani
Wewe ndio mjinga unaezaninkumuabudu mingu ni lazima ukere wengine. Salini bila kutumia outdoor speaker uone kama kuna myu atawabuguzi.Acha ujinga na udini wewe.
Kwanza Uzi wako umeonesha chuki dhidi ya walokole. Pole sana mkuu. Labda ulikuwa hujui suala la kuhubiri mtaani ukolalamikia wanalazimisha watu wawasikilize hata kama hutaki. Ni hivi kibali cha kufunga hizo spika na kupiga kelele mtaani wamepewa na wanaemhubiri yaani Yesu mwenyewe soma Kitabu cha Marko sura ya mwisho kuanzia mstari wa 15. Kifupi hawahitaji kibali cha mwanadamu awae yeyote kwakuwa hawafanyi kazi ya mwanadamu. Pia ukisoma utakutana na maagizo kwamba" Enenden ulimwenguni kote mkaihubiri injiri kwa kila kiumbe" kumbe hakuna eneo wanalozuiwa na binadamu yeyote na injiri sio kwa ajili yako tu. Biblia inasema kwa kila kiumbe kwahiyo kama wewe hutaki kisiki vipo viumbe vingine vinataka. Waache wafanye kazi yao. Mbona mabaa yapo kilakona na yanakesha kwa muziki mkubwa hauleti Uzi wa kulalamika? Uyo binti DC ni kiburi cha uzima tu kama chako ndo kilimfanya atoe maagizo ya kijinga namna hiyo. Siku mkishikwa na mapepo mtawatafuta hao wapiga kelele Mungu awasamehe wewe na DC
Kuhusu salawatu wanataka makanisa yapelekweke industrial areas, alafu misikiti ibaki kwenye makazi.
WATU WANA CHUKI BINAFSI NA YESU NA ROHO MTAKATIFU