Utengenezaji wa wine(request)

Utengenezaji wa wine(request)

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,371
Reaction score
14,481
Wapendwa wana jamvi wenzangu habari za majukumu?.Ninaomba yeyote mwenye utaalamu wa Teknolojia ya kutengeneza WINE YA NDIZI,Anisaidie kupitia JF.
 
Nitumie email yako nikutumie pdf ya,kutengeneza wine, inabidi utafute ndizi ambazo unawwza kutengeneza juice/wine maana sio kila ndizi unaweza kuitumia kutengeneza wine, uko mkoa gani???
 
Vizuri, sasa agalia kuna aina furani huwa,wanatumia kutengeneza omubisi(kiganda) hizi ndo nzuri kwa kutumia kama maligafi katika kutengeneza wine
 
Back
Top Bottom