NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Kua na ideology ya kuajiriwa itatumalizia vijana.utaulizwa "tutaajiliwa wapi?"
Sijui kama neno utengenezaji litakua sahihi ila ntaassume ukisoma utanielewa.
Genetic Engineering leo, hii field inahusiana na manipulation ya viumbe kwa kutumia biotechnology ambapo DNA ya kiumbe kimoja yaweza kuchanganywa na kiumbe kingine ili kupata kiumbe chenye tabia flani ambayo inakua imekusudiwa. Mfano, mtu anaweza kutengeneza bacteria ambayo ukiiweka kwenye maji ambayo yana wadudu wa aina flani hatari basi maji hayo hubadilika rangi kama indication, kwenye medicine imetumika kumodify human growth hormones, insulin production, kupambana na bacteria etc. Kuna matumizi mengi sana kutokana na hii field ila focus yangu haitokaa sana kutoa mafunzo ya Genetic Engineering, mtu anaweza kusearch na kupata data nyingi sana kwa ambaye yuko interested, focus yangu hasa ni Je, kwa nini Tanzania na nchi nyingine Africa in general fields kama hizi yani ni kama hazipo vile, hata watu ambao wanajihusisha ni wachache sana, si kua hazina faida Hapana, na third world countries zinahitaji sana hizi technology kuliko hata first world countries ila interest ni ndogo sana.. Ukiingia high schools wanaosoma science utakuta "Doctor of medicine, Lab technician, Civil Engineer, Oil&Petroleum" wengi watakujibu hivo, wachache utasikia "Computer science/engineering"
Tatizo nini?
Nakujibu swali lako kama ifuatavyo:-
1.Hapa Bongo na nchi nyingi za Africa tumeweka ETHICS mbele na ktk hii Geneti engineering kuna violations kubwa sana ya maadili mfano Nyanya zinaweza kuwa genetic engineered na kuwekewa HUman Proteins sasa unafikiri "How will you fill knowing unakula your fellow human being i.e canibalism
Mfano mwingine ni Insulin ambapo hapa wagonjwa wakisukari wanahusika kuna Bovine Insulin(insulin ya ng'ombe) na Porcile insulin(Insulin ya Nguruwe) sasa unafikiri SHEIKH atajisikiaje pamoja na kuwa anaumwa kuwekewa majitu ya Nguruwe ambayo kwake ni najisi.
Moreworse,vyakula vyote vilivyotengenezwa kwa hii teknolojia haviwekewi LABELINGS kuonesha kuwa hapa kuna hiki na hiki ili walau watumiaji wachague(hii wameikataa makampuni mengi kulinda biashara zao)
Hii technolojia pia ina-involve MURDER maana Stem cells nyingi zinachukuliwa katika Embryos sasa jiulize kimaadili ni halali kuua Mayai ya mwanamke au sperms za mwanaume au Embryo ilikufanyia haya MADUDU...Certainly no
Hiyo ni point of ethics na nahisi ndo inasababisha nchi nyingi zisi-adopt hii kitu
2.Iwapo nchi za Africa wataendekeza Genetic engineering inamaanisha WAKULIMA watakuwa waepigwa chini hapa namaanisha kuwa kwa kutumia genetic engineering mtu anaweza kuwekea Mazao genes za viumbe wakuao fasta at the same time kufanya crosslinking ya genes ya mazao yenye kutoa high yield...Kumbe mwisho wa siku Mazao ya wanyama na ya shamba yanazalishwa kwa njia rahisi,kwa mda mfupi na yenye ubora zaidi na PRICE ukija sokoni ni bei rahisi,unafikiri wale wakulima wa kienyeji hapa siwatakufa na njaa na umasikini maana soko lao litakuwa limeingiliwa?
Basi kama bado tunawapenda wakulima wetu inabidi tusi-entertain hii kitu
3.Genetic engineers wengi wako curious kufanya manipulation na wanaweza kuiangamiza dunia
Assume ule mgogoro wa Kikwete na raisi wa rwanda au wa Malawi hapa Bongo tungekuwa na Biotechnologist si tungewashambulia hawa maraisi na nchi zao kwa Biological weapons kama za Small pox na Anthrax na kuziangamiza nchi zao najua hii BIO-TERROSIM ilitumika pia ktk vita ya Dunia na Jinsi wabongo tulivyo na Fujo tukipata hii technology si kila siku tutaanza kuzozana na HIGH POWERS
4.Last but not least,Hadi uwe Biotechnologist sio mchezo lazima uwe umefanya Biochemistry(Molecular Biology) na hii course hapa Bongo sio faculty tegemezi bali ni couse ndani ya Faculty kama tatu hivi MD(Doctor of Medicine),BVM(Bsc in Verternary medicine) na Biotechnology
Baada ya kusoma Hiki kipindi cha Molecular Biology ambayo kwa hapa bongo inasomwa under Biochemistry na ni kipindi kimoja kigumu sana,ukipata Score nzuri hapo ndo unaweza soma MASTERS ya Molecular Biology
Najua utauliza Je,Limiting factor ni nn?
Jiulize hapa Tanzania wanaosoma hizo Faculty nilizozitaja ni wangapi na ni wangapi mwisho wa siku wanamaliza masomo yao na kuingia kazini?
Nchi kila siku inalalamika hamna madaktari,hamna mabwana mifugo unafikiri kweli kwa kulalama kama uku tutapata wataalamu wa Genetic engineering kweli au serikali itaona ni bora kuwekeza katika afya kuliko kuwekeza katika hii kitu ambayo inamatatizo yake
Nawasilisha
Mkuu naona umejaribu kuonyesha kua sio Wanafunzi tu wenyewe, na serikali nayo imekaa na kuwazia siasa tu na kusahau kua tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia. Ni aibu, na ni kweli upande mwingi umelalia kwa serikali, ni jukumu la serikali kuwatengenezea wanafunzi exposure wapate kuyajua mambo ya dunia yanavokwenda, wapate kua na ufikiria wa mbali. Tofauti nilikuja kuiona baada ya kumaliza highschool bongo na wenda kusoma nje moja ya vyuo vikubwa tu duniani. Nje nimekutana na watoto high school wanatengeneza vitu vikubwa sana, mfano kuna kampuni ya Intel hua inafanya mashindano kila mwaka, wanafunzi wa highschool wanafanya project mbalimbali na kutengeneza devices afu mshindi anapewa zawadi, kuna watoto wametengeneza robots, moja katengeneza device ambayo inaweza kuchaji betri ya simu full ndani ya dakika moja, mwingine katengeneza Virtual Reality headset. Hawa ni high school, wakiingia chuo wakamaliza wanakua sehemu gani??Ambacho ujui hapa siasa iko mbele kwa Africa, Utaki unaacha.
Watoto wanaoenda Havard au Princeton au MIT kila mwaka hua wanatoka shule za watoto wa kishua, International school of Moshi, Isamilo, Heaven of Peace Academy, wale hata kwa uchakachuzi wanapita na wanaenda kupewa scholarship kabisa. Ila chukua mtoto moja toka hizo shule nenda kampambanishe na raia imepinda kwenye vitabu iko Mzumbe high school uone.Mi nadhani mna mawazo mazuri!! Hii kozi sina imani kama ipo hapa nchini..ila ni lazima tutambue umuhimu wake hasa katika zama hizi!!!
Kuna mtu katoa wazo wanafunzi wakasomeshwe nje..ni wazo zuri ila kwa hii nchi yetu sijui wanawaza nini!!!
Its just a matter of time..
Mkuu naona umejaribu kuonyesha kua sio Wanafunzi tu wenyewe, na serikali nayo imekaa na kuwazia siasa tu na kusahau kua tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia. Ni aibu, na ni kweli upande mwingi umelalia kwa serikali, ni jukumu la serikali kuwatengenezea wanafunzi exposure wapate kuyajua mambo ya dunia yanavokwenda, wapate kua na ufikiria wa mbali. Tofauti nilikuja kuiona baada ya kumaliza highschool bongo na wenda kusoma nje moja ya vyuo vikubwa tu duniani. Nje nimekutana na watoto high school wanatengeneza vitu vikubwa sana, mfano kuna kampuni ya Intel hua inafanya mashindano kila mwaka, wanafunzi wa highschool wanafanya project mbalimbali na kutengeneza devices afu mshindi anapewa zawadi, kuna watoto wametengeneza robots, moja katengeneza device ambayo inaweza kuchaji betri ya simu full ndani ya dakika moja, mwingine katengeneza Virtual Reality headset. Hawa ni high school, wakiingia chuo wakamaliza wanakua sehemu gani??
Wanapata support kubwa, Ni kweli Serikali na hata watu wenyewe pia wamekalia sana siasa, wamesahau mambo mengine ya msingi zaidi
Wapo wapi? we umewaona? wamefanya nini?Wanasayansi wapo tanzania toa wazo kwamba hawapo, unaambiwa hawapo uendelee kuliwa, take care na jumapili njema.
Wapo wapi? we umewaona? wamefanya nini?
Usiwe unaongelea watanzania waliopo nchi za nje, hao wapo na usiwahesabu tena, wapo wana kazi zao na maisha yao safi tu, wengine lecturers vyuo vikubwa duniani.. Ila wa bongo wamefanya nini ambacho tunakijua?? em nifungue macho maana siwasikii kabisa, sio internationally tu, hata locally...
Jumapili njema na kwako pia
Watoto wanaoenda Havard au Princeton au MIT kila mwaka hua wanatoka shule za watoto wa kishua, International school of Moshi, Isamilo, Heaven of Peace Academy, wale hata kwa uchakachuzi wanapita na wanaenda kupewa scholarship kabisa. Ila chukua mtoto moja toka hizo shule nenda kampambanishe na raia imepinda kwenye vitabu iko Mzumbe high school uone.
Serikali hata ya Kenya tu inasaidia wanafunzi waliofaulu vizuri kwenda vyuo bora duniani, Tanzania inasupport ati scholarships za Algeria na Mozambique, sijui akili imekaa kwenye makalio. Hadi watoto walioingia top ten ya taifa utakuta wamekaa bongo wanapigwa jua.
Hapo kwenye RED ndipo viongozi wetu wanapo bore na borea huko mtu angekuwa anaenda kusoma course ambazo haziko Bongo ningewaelewa unakuta mtu anasoma MD wakati Pale Muhimbili kuna MD ambayo inashika kwa sasa Africa na ni kati ya vyuo bora sasa....naweza kukubaliana na wewe kuwa huku nikufikiria kwa kutumia ma*----
Kitu kingine nilichogundua hapa Tanzania mtu aendi kusomeshwa ughaibuni sana sana out Africa hivi hivi maana wanajua akipelekwa baada ya kumaliza Form 6 hatokaa harudi nchini kwao tena
Zaidi nimeona watu walioifanyia serikali kazi tayari ndo wanaaminiwa mfano utakuta malecturers ndo wanapewa shavu la kwenda kusomeshwa nje tu kwa jina la kutumwa na chuo
Hivo basi mm nahisi LIMITING FACTOR ya kuwasomesha watu nje kama wadau walivyopendekeza sio kwamba eti nchi haina hela shida inakuja baada ya kuwasomesha hao wadau ni kweli watarudi tena KUIFANYIA KAZI NCHI YAO
hicho ndo kigezo kikubwa sana kinachozuia Bongo kutosomesha watu nje ya nchi na katka vyuo vikubwa huko ughaibuni
Tanzania Government knows to TRAIN but doesn't know how to RECRUIT
Hii sentesi ni Limiting Factor nyingine mfano unaweza Chukulia ule mgomo wa Madaktari wa juzi hapa Madaktari wa MOI walikuwa wanalalamika kuwa wamesomeshwa nje lkn wakirudi bongo vifaa hamna na hii kuifanya elimu waliyoipata kutokuwa na maana tena na walibainisha kuwa wengi wamechukua uamuzi wa kwenda kufanya kazi nje si tu kwa kigezo cha kulipwa vizuri bali kutumia UFAHAMU waliopata kipindi wanasoma ktk mahospitali yenye vifaa muhimu
Kumbe bado serikali itawasomesha watu wa Genetic engineering lkn watakuja hapa watakosa Funds kwa ajili ya kuendesha resarch kadhaa,watakosa vifaa na mazingira ya kufanyia kazi and Above all watalipwa hela ya NYANYA kitu ambacho kinawakimbiza wabongo wengi katika nchi yao
Serikali bado haijaweza kabisa kuwapromote wasomi wake waendelee kukaa humu humu Tanzania kabisa kumbe hata hizo scholarship zikianza leo au kesho limiting factors nilizozitaja hapo juu zitabaki kuwa kikwazo kwa Tanzania kuwa na Genetic engineers wa maana
Mkuu uko clear san hapa lakin cha kwanza unatakiwa kujua gvnt yetu haina long term strategy yyte about scienc
Nahayo unayoyaona hayaji as emergency, inatakiwa iwe ivyo maaana no strategy yyte.
Bongo kuna strategy za kumchafua mtu anayeziba ulaji wawakuu ova!.
Unajua uwezo wa makamu rais wako in science hasa mambo ya kinyukilia lakini si anaambulia kutembea na mkasi wa kukata utepe?
Maana yake apa nn wanasayansi hawana target sana tz yako. Tutaongea sana lakin wakubwa awataki jaman.
Duuh!Kumbe makamu waraisi yuko poa katika Neclear rxns?
Au ni kama Mark mwandosia amabaye nasikia ni Bonge la Engineer tena upigisha Pindi hata Ughaibuni huko lkn naye akajitosa katika SIASA:angry:
Poor Him
Poor Tanzania