Asante sana. Ila hiyo mara 3 kwa siku kwa kiasi gani kwa kuku 100?Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU
MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5
JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi
-wape kuku mara tatu kwa siku
NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI
Asante...
-Queen Chagga.
Haijalishi hata kama unao wawili wape chakula asubuhi. Mchana na jion kabla ya giza (kama huwawashii taa)Asante sana. Ila hiyo mara 3 kwa siku kwa kiasi gani kwa kuku 100?
Nashukuru sana, ila apo kwenye dam umeniacha kidogo! Damu kilo tano inakuwaje hiyo?Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU
MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5
JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi
-wape kuku mara tatu kwa siku
NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI
Asante...
-Queen Chagga.
Hiyo sikubaliani nayo. Mara 3 kiaje? Kwani vidonge hivyo? Inategemea na vyombo unavyotumia. Kama vikubwa vinabeba chakula kingi, watakula mpaka watabakisha kwa siku nzima.Haijalishi hata kama unao wawili wape chakula asubuhi. Mchana na jion kabla ya giza (kama huwawashii taa)
Damu inayowekwa kwenye chakula cha kuku imekaushwa mkuuNashukuru sana, ila apo kwenye dam umeniacha kidogo! Damu kilo tano inakuwaje hiyo?
Kupata kuku bora ni lazima kuwalea katika hali ya usafi. Kama unajua kuku wako wanakula debe kwa siku wawekee sado kila kinapoisha unaongeza tena na tena.Hiyo sikubaliani nayo. Mara 3 kiaje? Kwani vidonge hivyo? Inategemea na vyombo unavyotumia. Kama vikubwa vinabeba chakula kingi, watakula mpaka watabakisha kwa siku nzima.
safiHabari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU
MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5
JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi
-wape kuku mara tatu kwa siku
NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI
Asante...
-Queen Chagga.
Damu ya nini, Ng'ombe, kuku, bata, binadamu, mbuzi, etc ?Damu inayowekwa kwenye chakula cha kuku imekaushwa mkuu
Habari wana Jf....