Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,165
Reaction score
29,866
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwaride la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20 kujenga nyumba za wana Magereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi majuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani, ndg Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miaka 12 kukamilisha kazi, leo ni mwaka wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.

Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning.

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaongelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi , kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalamika mitandaoni juu ya kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako , ni wale wapambe wasiotaka kukutonya ukweli.
Na kwa kweli hawakutakii mema.

Mawazo yangu mzee, TBA warudi kwenye kazi yao ya Uwakala wa nyumba za serikali, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
 
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwatide la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20kujenga nyumba za wana Msgereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi msjuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miska 12 kukamilisha kaxi, leo ni mwska wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.
Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo wslitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaonhelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalsmika mitandaoni juu ua kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako ni wale wssiotaka kukutonya ukweli.

Mawaxo ysngu mzee, TBA wsrudi kwenye kaxi yao ya Uwakala, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
Mzee anachuki anapoona wakandarasi wanapewa tenda so wacha avune alichopanda ndio maana hafanikiwi malengo take Kwa chuki zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwatide la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20kujenga nyumba za wana Msgereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi msjuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miska 12 kukamilisha kaxi, leo ni mwska wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.
Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo wslitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaonhelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalsmika mitandaoni juu ua kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako ni wale wssiotaka kukutonya ukweli.

Mawaxo ysngu mzee, TBA wsrudi kwenye kaxi yao ya Uwakala, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
Usichanganye jina, yeye hakukurupuka. Anajua muundo wa hiyo taasisi kuwa ina kitengo cha ujenzi. Ishu ni kwamba hawana uwezo.
 
Kazi ipo tena sio ndogo!!! Tatizo ni pale mtu anapotoa makadirio ya uongo ili tu amfurahishe mtu, ila anapopewa hiyo pesa sasa itumie kwenye huo ujenzi ndio hesabu zinapogoma, na kutoa zako za mfukoni huwezi unaamua potelea mbali bora lawama!! Ndio kinachotokea, waliona kuwa wakandarasi wanatoa mahesabu ya juu sana, bora wawatumie hao!!! Hata yule kiongozi wa jana anaposema eti ndani ya miezi miwili tu watakuwa wamekamilisha hayo majengo sio kadhi rahisi hivyo!!! Sehemu yenye utaalam waache siasa!!! NAFUU SIKU ZOTE NI GHARAMA
 
TBA pamoja na kuwa ni Wakala wa Majengo ya Serikali pia.ni Consultant na Mkandarasi. TBA imesajiliwa na ERB na AQRB kama Consultant na pia ni CRB kama Mkandarasi.

Wawezeshwe kwa vifaa, pesa na staffing tu. Pesa ya ujenzi iwe realistic tu na wasisahau kuhusu motisha kwa watumishi husiki, waondolewe ile TGS kama wenzao wa wakala wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu TBA kutokufanya kazi kwa wakati na bajeti ni suala lililotegemewa kutokea tu, kwa wajuzi wa mambo tulijua hilo kitambo sana.

Ilianzia kwenye hostel za UDSM ambapo mradi wa bil. 50+ , TBA walidai wameujenga kwa bil. 10, na watu waliokuwa wanatia mashaka juu ya hiyo bei kazodolewa na kuitwa wapiga dili.

TBA wamekuwa wakifanya kazi kisiasa badala ya kitaalam, wanataja kufanya miradi kwa bei ndogo, matokeo yake wanatumia hela za miradi mingine kukamilisha miradi yenye uharaka. Pia wanashindwa wakiwa field kutokana na gharama halisi kuwa kubwa tofauti na bei waliyotoa na kupewa.

Jambo jingine TBA kwa mujibu wa structure yake ilikuwa taasisi ya Kusimamia tu majengo ya serikali(Consultant/ Client representative) katika awamu iliyopita hata majengo yaliyokuwa chini ya milki yao yalijengwa na wakandarasi wengine, lakini baada ya awamu ya rais Magufuli kuingia madarakani wakapewa kazi ya kujenga majengo yote ya serikali na taasisi zake nchi nzima. Hali hiyo imewafanya wawe na mzigo mkubwa juu ya uwezo wao wa kiuendeshaji. Kazi ya ujenzi ni ngumu na inahitaji umakini mkubwa na uangalifu sana.

Serikali inachotakiwa kufanya ni kuwapa kazi wakandarasi kwa njia ya zabuni kama ilivyokuwa zamani, iachane na kuzipendelea taasisi zake au kufanya kwa Force account maana hilo nalo ni janga jingine huko mbeleni. TBA ibaki kama msimamizi kwa niaba ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi."

"WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga."

Hii ndiyo point ya muhimu...

Cc: mahondaw
 
TBA pamoja na kuwa ni Wakala wa Majengo ya Serikali pia.ni Consultant na Mkandarasi. TBA imesajiliwa na ERB na AQRB kama Consultant na pia ni CRB kama Mkandarasi.

Wawezeshwe kwa vifaa, pesa na staffing tu. Pesa ya ujenzi iwe realistic tu na wasisahau kuhusu motisha kwa watumishi husiki, waondolewe ile TGS kama wenzao wa wakala wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
kusajiliwa si kigezo cha utendaji.
Wizara nyingi zinainyanyapaa TBA kwa vile si tu hawana uwezo lakini kiutendaji TBA haina muundo wa kikandarasi wala ki consultancy.

TBA ni idara tu ya serikali, kama utumishi.

Mtu unaposema TBA wawezeshwe, hueleweki.
Mkandarasi kupewa upfront bilioni 20, huo ni uwezeshaji mkubwa sana.
Fedha hizo hazina guarantee wala Bank bond, upewe nini TBA.
 
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwaride la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20 kujenga nyumba za wana Magereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi majuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani, ndg Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miaka 12 kukamilisha kazi, leo ni mwaka wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.

Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning.

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaongelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi , kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalamika mitandaoni juu ya kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako , ni wale wapambe wasiotaka kukutonya ukweli.
Na kwa kweli hawakutakii mema.

Mawazo yangu mzee, TBA warudi kwenye kazi yao ya Uwakala wa nyumba za serikali, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
nasoma sana jf ni nadra sana kukutana na madini kama haya.
UBARIKIWE MKUU
 
Back
Top Bottom